ミュージックビデオ
ミュージックビデオ
クレジット
PERFORMING ARTISTS
Mandojo
Performer
Mandojo Na Domokaya
Performer
Juma Nature
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mandojo Na Domokaya
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Miikka Mwamba
Producer
歌詞
Nsawanzuko wenyu
Nsawanzuko wenyu
Mwene Dojo liana lianani
Magutaa mbali lavilie kwii
Likuchemwali nani
Li DomoKaya
Lilavilie kumjini
Likonongoo
Msipo niskiliza mtanielewa vipi
Mnaniita looser heshima tena hamnipi
Kuvaa napendeza hawaamini nna dhiki
Heti nkicheka Wanadhani niko fresh
Huko nlipotoka balaa tupu mkosi
Nalia na Mola kumbe wanga ndio wanamix
Sio hadithi za sungura na fisi
Hata hii safari imekuwa ndefu sfiki
Ndicho kipindi namfahamu yupi rafiki
Yupi msaliti azidi tu kudiss
Anafinya sisikikii kachala ana chuki
Fanya kununa vimba na hupasuki
Damu full mziki ikichemka tu nakiki
Wanapiga ndefu hata Bic haziandiki
Wanafitini na demu anipe buti
Hawa ridhiki kuniona ndani ya suti
Wana roho nyeusi zisizo ng'aa kwa giki
Wananifikiria mauti bado sifi
Niaje hatupatani na msela ana hasira
Anga zangu wanga wanafinirira
Anga zangu wanga wanafiniriraa
Niaje hatupatani na msela ana hasira
Anga zangu wanga wanafinirira
Anga zangu wanga wanafiniriraa
Nashangaa, nashangaa ,nashangaa mimi kuona
Nashangaa, nashangaa ,nashangaa mimi kuona
Kuona mshkaji wa karibu ananichukia
Na kila nikipita maskani mshkaji wangu ananiharibia
Nikiuliza naambiwa sina msaada nae katika maisha
Ndo maana hivi sasa ameamua mshkaji wangu kutangaza vita
Cha ajabu ni kwamba ameniambia asinione maskani nikipito
Nikitia maguu tu nitakuwa maisha yangu nayahatarisho
Naomba msamaha sana kama mimi nitakuwa nimekukosea
Lakini sidhani kama kuna mtu atazaliwa akawa hana kosa
Msela acha hasira za kuniharibia
Kwani sisi sote binadamu tunapita njia
Nashangaa, nashangaa, nashangaa mimi kuona
Mshkaji ana nichukia
Na vitu kunichukilia
Nikifikiria mimi sija mkosea
Ila visa tu ananifanyia
Naona ya kwamba arudishe moyo wake si tuishi kwa amani
Tuyafate ya sasa tuache ya zamani
Niaje hatupatani
Hatupatani
Na msela ana hasira na mimi
Niaje hatupatani na msela ana hasira
Anga zangu wanga wanafinirira
Anga zangu wanga wanafiniriraa
Niaje hatupatani na msela ana hasira
Anga zangu wanga wanafinirira
Anga zangu wanga wanafiniriraa
Imepigwa simu twende Alhamisi
Tukafanye vocal tukafanye biti
Nachukuwa basi mpaka Bongo city
Vingunguti alipo olewa anti
Ni kwa ndugu yangu kwa bamdogo kiki
Wameiba jeans fedha wameiba buti
Niaje hatupatani na msela ana hasira
Anga zangu wanga wanafinirira
Anga zangu wanga wanafiniriraa
Niaje hatupatani na msela ana hasira
Anga zangu wanga wanafinirira
Anga zangu wanga wanafiniriraa
Written by: Mandojo Na Domokaya