クレジット
PERFORMING ARTISTS
Breeder LW
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Paul Baraka Otieno
Songwriter
歌詞
[PreChorus]
Mi ni big-baba, sidai nonsense
Nishai target, ju ni full-package
Na weh ni fine-mama, hauna compe'
Ka unaipenda, sema, usiogope
[Chorus]
(Ati) naipenda (Tulia) naipenda
(Relax) Naipenda (Tulia) naipenda
(Nitakupanga) Naipenda (Tulia) naipenda
(Relax) Naipenda (Nitakupanga) naipenda (Nitakupanga)
[Verse 1]
Uh, tuma mail, kama unadai ku get friendly (Friendly)
Bigbaba.co.ke (.ke)
Ma fresher na single ladies ndio wengi (Si wakuje)
Dr. Fathela tunatibu adi mapenzi (Nawatw-)
Wa-wa-wa-wa-wa
[Verse 2]
Cheki ngoma inalipuka ka World War I
Every man grab a girl and every girl grab a man
(Umetuma pin?) Wacha ni confirm
Mbona una haraka, unaenda wapi na hii jam?
Nataka bad girl, sitaki shy girl
Dem akiipenda, anasema, "Nai love"
(Naipenda) nai love
[PreChorus]
Mi ni Big-Baba, sidai nonsense
Nishai target, ju ni full-package
Na weh ni fine-mama, hauna compe'
Ka unaipenda, sema, usiogope
[Chorus]
(Ati) naipenda (Tulia) naipenda
(Relax) Naipenda (Tulia) naipenda
(Nitakupanga) Naipenda (Tulia) naipenda
(Relax) Naipenda (Nitakupanga) naipenda (Nitakupanga)
[Verse 3]
Mimi nina bibi yangu, nitakee wako kwa nini? (Kwa nini?)
Juu ya Henny na choma-choma maini (Maini)
Mavienyeji nawapenda sio siri (Sio siri)
Na fine girls huku mjini hupenda nini?
[Verse 4]
Na sitaki Whatsapp, call me
Sitaki ma SMS, call me
You need a big man? Call me
[Verse 5]
Wanjiru and Akinyi, wine for me
Mbona una haraka, unaenda wapi na hii jam?
Nataka bad girl, sitaki shy girl
Dem akiipenda, anasema, "Nai love"
(Naipenda) nailove
[PreChorus]
Mi ni big-baba, sidai nonsense
Nishai target, ju ni full-package
Na weh ni fine-mama, hauna compe'
Ka unaipenda, sema, usiogope
[Chorus]
Naipenda, naipenda
Naipenda, naipenda
(Ati) Naipenda, naipenda
Naipenda, naipenda
Written by: Paul Baraka Otieno