ミュージックビデオ
ミュージックビデオ
クレジット
PERFORMING ARTISTS
CARTOON47
Performer
Mercy Walker
Performer
COMPOSITION & LYRICS
DAVIS MNANGA OTATWA
Songwriter
歌詞
Barakis on the mix
Sina makosa wee mama x2
Wataka kuniua bure mama x2
Una makosa wee baba x2
Sitaki kukuua bure baba x2
Yule si wangu nami si wake
ugombvi wa Nini kata yangu Mimi na wewe x2
Yule ni wako nawe ni wake
Uongo wa Nini kati yangu Mimi na wewe x
Tulivyo patana ni Siri ya wawili wawili nikakutongoza tukapatana kimwili mwili
Juzi linikuona na Jennie mkikiss adharani hivo wamanisha Nini mbela ya majirani
Juzi ulitoka na Ben tukiwa mashinani hivi visa nivya Nini unaleta adharani
Siri ya jeshi usitangaze kila Kona usiwape nafasi wakaja kutuponda ponda
Sina makosa wee mama x2
Wataka kuniua bure mama x2
Una makosa wee baba x2
Sitaki kukuua bure baba x2
Yule si wangu nami si wake
ugombvi wa Nini kata yangu Mimi na wewe x2
Yule ni wako nawe ni wake
Uongo wa Nini kati yangu Mimi na wewe x
Lelelile leleliiiii ooooh mama eeeh cartoon47 na mercy walker haha amapiano rumba eeh hii inachezwa na watu wenye pesa zao au sio Terence on the track na barakis on the beat haha aaaaahchew
Yule si wangu nami si wake
ugombvi wa Nini kata yangu Mimi na wewe x2
Yule ni wako nawe ni wake
Uongo wa Nini kati yangu Mimi na wewe x
Hahaha ngoma Kali naona watu wanacheza eeh salamu ziwafikie eeh dj Armani na dj perez naona pia dj joemfale sinacheza Mzee mzima joe mchiri na pk pia wanakatika sana aaaaahchew
Written by: DAVIS MNANGA OTATWA