ミュージックビデオ

特集

クレジット

PERFORMING ARTISTS
Walter Chilambo
Walter Chilambo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Walter Chilambo
Walter Chilambo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Walter Chilambo
Walter Chilambo
Producer

歌詞

Maisha anayepanga Mungu Ndiye anayejua kesho yangu Yawe matamu au machungu Nikipata nikikosa nashukuru Mungu Ndio maana bado sijachoka mimi kuhangaika Ndoto zangu zikazimika Nazidi kuomba Mungu ashushe baraka Neema yake kunifunika Leo yangu isiwe kama jana Naamini Mambo yatabadilika Aaaah Unitazame Bwana Kesho yangu ikajaye furaha Aaaah aaah Kesho yangu ikajaye furaha Mambo shwari Yatakuwa shwari Ooouh Mambo Shwari Mungu anayaweka shwari Shwari Sina mashaka tena Shwari Najua mambo yatakuwa shwari Shwari Shwari kabisa yani shwari Shwari Siku yaja mambo yatakuwa Shwari Mambo yatanyooka Nimezaliwa kupambana Na sitokata tamaa Haijalishi ni mangapi nimepitia Yakaniumiza eeeiyah Najua vita si ndogo Vita si ndogo Ila kwa Mungu hiyo vita ni ndogo Bado kidogo Muda kidogo Mungu ataniheshimisha Bado kidogo Ndio maana sijachoka kuhangaika Ndoto zangu zikazimika Nazidi kuomba Mungu ashushe baraka Neema yake kunifunika Leo yangu isiwe kama jana Naamini mambo yatabadilika Aaaah Unitazame bwana Kesho yangu ikajaye furaha Aaah aaah Kesho yangu ikajaye furaha Mambo shwari Yatakuwa shwari Ooouh mambo Shwari Mungu anayaweka shwari Shwari Sina mashaka tena Shwari Najua mambo yatakuwa shwari Shwari Shwari kabisa yani shwari Shwari Siku yaja mambo yatakuwa Shwari Mambo yatanyooka Shwari Yatakuwa shwari Shwari Oouuh mambo Shwari Mungu anayaweka shwari Shwari Mambo yatanyooka
Writer(s): Walter Chilambo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out