クレジット

PERFORMING ARTISTS
Mac Voice
Mac Voice
Vocals
Rayvanny
Rayvanny
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Raymond Shaban Mwakyusa
Raymond Shaban Mwakyusa
Composer
Khamis Shaban Makalanga
Khamis Shaban Makalanga
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

歌詞

[Chorus]
Mwambieni nampenda, bila yeye mi siwezi
Mwambieni nampenda, bila yeye mi siwezi
[Chorus]
Ati simtaji jina (Anajijua), fundi wa raha zangu (Anajijua)
Kiboko yangu (Anajijua), sio mpaka niseme
Yule ninampenda sana (Anajijua), roho yangu (Anajijua)
Mwenye moyo wangu (Anajijua), sio mapaka niseme
[Verse 1]
Kwanza tuanze rangu yake, aah jamani ipo mwake
Natamani nione kopo lake, amenunua wapi duka lake
Kisha tuje kwenye umbo lake ah! Hapo lazima udate
Usije kutokwa mate, mambo ya uturuki tuyaache
[Verse 2]
Maana mtoto kanawiri, jaama!
Kumuacha uwe jasiri, saana!
Nimeshindwa kuwa bahiri, mama!
We nichune hadi kandambili, sawa
[Bridge]
Babe pose geuka freeze, nipe tabasamu la picha cheese
You are so mwaa! You are so cute
Kwako nime wehuka kabisa chizi
[Chorus]
Mwambieni nampenda, bila yeye mi siwezi
Mwambieni nampenda, bila yeye mi siwezi
[Chorus]
Ati simtaji jina (Anajijua), fundi wa raha zangu (Anajijua)
Kiboko yangu (Anajijua), sio mpaka niseme
Yule ninampenda sana (Anajijua), roho yangu (Anajijua)
Mwenye moyo wangu (Anajijua), sio mapaka niseme
[Verse 3]
Leo nawatambulisha mliokuwa hamjui
Hapa ndo nimefika mwenzenu (Shemeji yenu huyo)
Kwake najibebisha, usiku asubuhi
Tongoza-tongoza ama zangu ama zenu (Shemeji yenu huyo)
[Verse 4]
Ye ndo tiba ya mwili, maama
Anituliza akili, jaama
Ma-ex mtasubiri, saana
Kumwacha sifikirii, ooh
[Bridge]
Pose geuka freeze, nipe tabasamu la picha cheese
You are so mwaa! You are so cute
Kwako nime wehuka kabisa chizi
[Chorus]
Mwambieni nampenda, bila yeye mi siwezi
Mwambieni nampenda, bila yeye mi siwezi
[Chorus]
Ati simtaji jina (Anajijua), fundi wa raha zangu (Anajijua)
Kiboko yangu (Anajijua), sio mpaka niseme
Yule ninampenda sana (Anajijua), roho yangu (Anajijua)
Mwenye moyo wangu (Anajijua), sio mapaka niseme
Written by: Khamis Shaban Makalanga, Raymond Shaban Mwakyusa, Siraju Amani
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...