クレジット
PERFORMING ARTISTS
MABANTU
Performer
Chiby
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Twarha Kanengo
Songwriter
Mwarami kajonje
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Chiby
Producer
歌詞
[Intro]
Tushaachana tunakumbushiama tu (Si wanapenda kubang)
Tushaachana (Wantaramela wansegejuu) tunakumbushiana tu
[Chorus]
Si tushaachana (Oya si tushaachana) tunakumbushiana tu
Tushaachana (Tushaachana) tunakumbushiana tu (Okay)
Si tushaachana (Si sushaachana) tunakumbushiama tu (Si wanapenda kubang
(Zamani uko) Tushaachana (Ila tukiwa na ugumu) tunakumbushiana tu
[Verse 1]
Kisiri-siri tunatafutana tukijisikia
Kuna chimbo letu uko la kujichimbia
Ukikuta kwa phone ananipgia
Ujue kaumisi mguu wa mtoto A-K-A ngamia
Tunapasha kipolo kwa kujificha
Coz awamgusi pale ninapomshika
[Bridge]
Oya! Ex anuniwi utadhalilika
Kama unajua kununa yanunie maisha
Ex anuniwi bhana weeh
[PreChorus]
Oya si tushaachana ila tunakumbushiana tu
Yes! Si tushaachana ila tunakumbushiana tu (Kumaanisha nini?)
[Chorus]
Si tushaachana (Oya si tushaachana) tunakumbushiana tu
Tushaachana (Tushaachana) tunakumbushiana tu (Okay)
Si tushaachana (Si sushaachana) tunakumbushiama tu
(Zamani uko) Tushaachana (Ila tukiwa na ugumu) tunakumbushiana tu
[Verse 2]
Yooh! Ex akinimis, na mimi nammis
Ex akinitaka, na mimi namtaka
Ex akiniita sasa kwanini nisiende
Ex akiniomba, sasa kwanini nisimpe
[Verse 3]
Tunapasha kipolo kwa kujificha
Coz awamgusi pale ninapomshika
Oya! Ex anuniwi utadhalilika
Kama unajua kununa yanunie maisha
Kula chuma icho kivumbi leo
[PreChorus]
Oya! Si Tushaachana ila tunakumbushiana tu
Yes! Si Tushaachana ila tunakumbushiana tu (Kumanisha nini)
[Chorus]
Si tushaachana (Oya si tushaachana) tunakumbushiana tu
Tushaachana (Tushaachana) tunakumbushiana tu (Okay)
Si tushaachana (Si sushaachana) tunakumbushiama tu
(Zamani uko) Tushaachana (Ila tukiwa na ugumu) tunakumbushiana tu
[Outro]
Yooh! Ex akinimis, na mimi nammis
Ex akinitaka, na mimi namtaka
Ex akiniita, sasa kwanini nisiende
Ex akiniomba, sasa kwanini nisimpe
Written by: Mwarami kajonje, Twarha Kanengo