クレジット

PERFORMING ARTISTS
B Classic 006
B Classic 006
Performer
COMPOSITION & LYRICS
B Classic 006
B Classic 006
Songwriter
Dennis Manja
Dennis Manja
Songwriter
JUSTINE Baron mainye
JUSTINE Baron mainye
Composer
Denis Manja Lesalolo
Denis Manja Lesalolo
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Barakiz
Barakiz
Producer

歌詞

Uuuuuuh uuh bclassic 006 mtu mbaaaadi
Naona future nawe baibe wasikudanganye mami looo ooh.
kwanza penzi lako tamu, tamu tamu hatari na vile unanifaa kweli nikupe moyo niwe wako nakuona kifaa kweli basi jikabidhi niwe wako
Bridge;
Baby umenikoleza hadi wengine wananisema vibaya
Penzi nitaliongeza hadi washikwe na haya
Chorus
(Shiii nimeganda kwako shiro shiro shiro shiro umenichanganya
Nimezama kwako shiiro shiro shiro shiro nakupenda sana) ×2 shiiiiiiroooh
Verse 2
Nikisema uuuh aeeeh naona smile yako baby hata kama kwenyu juja eeeh....naona nikifika baby kama mahaba nikupe ndindindi penzi lako lote mizizi,nishakupenda kwako nimechizi baby come kupe ndizi ,
Bridge;
Baby umenikoleza hadi wengine wananisema vibaya
Penzi nitaliongeza hadi washikwe na haya
Chorus
(Shiii nimeganda kwako shiro shiro shiro shiro umenichanganya
Nimezama kwako shiiro shiro shiro shiro nakupenda sana) ×2 shiiiiiiroooh
Written by: B Classic 006, Denis Manja Lesalolo, Dennis Manja, JUSTINE Baron mainye
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...