クレジット

PERFORMING ARTISTS
D'love
D'love
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Gabus Juma
Gabus Juma
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
O.Righty
O.Righty
Producer

歌詞

Yap, Say Naitwa mangi mnh oye
Mnh! Naa na nah, Naa na naanah Mapenzi
Orighty
Yani hata nikeshe usiku mzima hatoki kichwani mwangu
Nani anileweshe nimtaje jina alie moyoni mwangu
Jina lake ni desh desh page ya insta ameweka picha yangu ahh
Kumbe mapenzi ungese me ndo m\'buyu nae ndo shetani wangu
Yeye ndo kiboko ya mapenzi nimezama sijiwezi
Wenzenu saivi tunashare majina tushafanana nae ndo wajina wangu oh my gash
Mmnh mmnh, Ohh lo lo lo lo lo loh Oye
Sa babe unahamisha unaweka sipo mamaa
Hata ndugu wakija waambie sipo kwa hizi raha
Maana zimekithiri na mfano wake hakuna na na
Kwa jinsi alivyonikaa sidhani kama atanitoka
Mwili wangu ndo wake eeeh
Maana ubavu wake eeeh
Upole wa sura yake eeeh ndo vinanchanganya
Maana ye kiboko ya mapenzi nimezama sijiwezi
Wenzenu saivi tunashare majina tumefanana nae ndo wajina wangu oh my gash eeh mmnh
Written by: Gabus Juma
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...