歌詞

Mapenzi Sioni kosa lolote Forever you are my baby yeaah Mashosti na majirani Wametupaka rangi Wanazo habari ulizoweka siri Badala ya wasiwasi, Ungeliweka wazi Haya maji yatazoleka kweli Kuna jambo linanipa wazo baby Kulichokufanya kunigeuka mimi Maneno yao yananitatiza baby Lakini bado upo moyoni Nitaweza? Msamaha, nitaweza? Nitaweza? Aibu hadharani, nitaweza? Nipe, nipe sababu Ya kubaki na wewe baby Nipe, nipe Sababu Nimechoka na drama daily Nipe, nipe sababu Nipe sababu yeaah Nipe, nipe sababu Sikati tamaa Ila majonzi mi wamenijaa Ata iwe aje baby wewe ndio unanifaa Hisia zangu zabaki Na wewe Tumaini bado kwako Nitaweza? Msamaha, nitaweza? Nitaweza? Aibu hadharani, nitaweza? Nitaweza? Msamaha, nitaweza? Nitaweza? Aibu hadharani, nitaweza? Oh mimi baby Nipe, nipe sababu Ya kubaki na wewe baby Nipe, nipe Sababu Nimechoka na drama daily Nipe, nipe Sababu Nipe Sababu yeah Nipe, nipe Sababu Nipe Sababu baby yeah Nipe, nipe Sababu Nimechoka na drama daily Nipe, nipe Sababu Nipe Sababu yeah Nipe, nipe Sababu Oh ya kubaki na wewe baby Unipende, yeah yeah Mapenzi Sioni kosa lolote Forever you are my baby yeaah
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out