ミュージックビデオ

ミュージックビデオ

クレジット

PERFORMING ARTISTS
MABANTU
MABANTU
Performer
Navy Kenzo
Navy Kenzo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Navy Kenzo
Navy Kenzo
Songwriter
Twarha Kanengo
Twarha Kanengo
Songwriter
Mwarami kajonje
Mwarami kajonje
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gachi B
Gachi B
Producer

歌詞

[Refrain]
Usione tuna furaha kinoma maana mwanzo haikuwa rahisi (So long)
Usione tunalewa kinoma maana mwanzo haikuwa rahisi Gachy B (Gachy B)
Usione tunapendana kinoma maana mwanzo haikuwa rahisi (Si wanapenda kubang)
Usione bata, tunakula bata mwanzo haikuwa rahisi, (Kumaanisha nini)
[Bridge]
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Because mwanzo haikuwa rahisi (Haikuwa rahisi)
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Because mwanzo haikuwa rahisi (Honey)
Haikuwa rahisi
[Verse 1]
Jana jumapili kabla jumapili goma
Leo tunavesha leo tunachoma
Dj Asumami vine tunataka ngoma (Asumani)
Waiter zungusha hivyo vinyama choma
[Chorus]
Oyaa maokoto (Maokoto)
Yamekubali (Yamekubali)
Hatuogopi Bill (Hatuogopi Bill)
Hawatudai (Hawatudai)
Oyaa maokoto (Maokoto)
Yamekubali (Yamekubali)
Hatuogopi Bill (Hatuogopi Bill)
Hawatudai (Hawatudai)
[Refrain]
Kumaanisha nini
Usione tuna furaha kinoma maana mwanzo haikuwa rahisi
Usione tunalewa kinoma maana mwanzo haikuwa rahisi
Usione tunapendana kinoma maana mwanzo haikuwa rahisi
Usione bata, tunakula bata mwanzo haikuwa rahisi
[Bridge]
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Because mwanzo haikuwa rahisi
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa (Ona nana)
Because mwanzo haikuwa rahisi
[Verse 2]
She got a long hair sting like antenna
Getting money not the entertainer
Who you follow don't matter, what you feel like
Hold your gun can't tell a hater
[Verse 3]
My baby nae kamjengea kaghotofa
Mommy girl dey flexing the check, and fella eeeh
Everybody is a blessing
All we do is a blessing
[Verse 4]
Ufukara matatizo yamekwisha
Mola kaamua kutupandisha
Ni muda sasa umefika
Kweli haikuwa rahisi
[Chorus]
Maokoto (Maokoto)
Yamekubali
Hatuogopi Bill
Hawatudai
[Refrain]
Kumaanisha nini
Usione tuna furaha kinoma maana mwanzo haikuwa rahisi
Usione tunalewa kinoma maana mwanzo haikuwa rahisi
Usione tunapendana kinoma maana mwanzo haikuwa rahisi
Usione bata, tunakula bata mwanzo haikuwa rahisi
[Outro]
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Because mwanzo haikuwa rahisi (Haikuwa rahisi)
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Tumejipata mwaisa
Because mwanzo haikuwa rahisi (Haikuwa rahisi)
Written by: Aika Marealle, Emmanuel Mkono, Mwarami kajonje, Navy Kenzo, Twarha Kanengo
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...