歌詞
nobody like you
nobody nobody like you
nobody like you
eeh jalali, tuongezee ulinzi
wasiotupenda ni wengi
binadamu
tuepushie shari
tuvivuke viunziii,
maana wasiotupenda ni wengi,
binadamu
wanatamaniiii, furaha yetuuu
wanatamani, iwe yao
wanatamani, mpennzi wangu
wanatamani, awe wao
Tunaishi kwa baraka zako (AMEN)
Hata wakaroge (AMEN)
Sisi hatuachani (AMEN)
mmmmmmh
Tunaishi kwa baraka zako (AMEN)
Wakavunje jungu (AMEN)
Sisi hatuachani (AMEN)
Mmmmmhhhhhh
nobody like you
nobody nobody like you
nobody like you x2
Hizi hisia, kwa ajili yake yeye tu
Hakuna mwingine yeye tu
siwezi punguza
nishatumbukia , kina kirefu maji pu
naogelea maji pu
sitaki bughuza
nichukulie vyote, mniachie yeye
mniachie yeye, mniachie yeye
simpendi yoyote, zaidi yake yeye
moyo wangu yeye
nayempenda yeye
wanatamani, furaha yetu
wanatamani, iwe yao
wanatamani, mpenzi wangu
wanatamani, awe wao
tunaishi kwa baraka zako (AMEN)
Hata wakaroge (AMEN)
sisi hatuachanii (AMEN)
tunaishi kwa baraka zako (AMEN)
wakavunje jungu (AMEN)
Sisi hatuachani (AMEN)
mmmmmmhhhh
nobody like you
nobody nobody like you
nobody like you
Written by: Bam Boy