ミュージックビデオ
ミュージックビデオ
クレジット
PERFORMING ARTISTS
Unganisha
Performer
Bernt Isak Wærstad
Electric Guitar
Irene Labdi Ommes
Lead Vocals
Ane Marthe Sørlien Holen
Snare Drum
Sidiki Camara
Djembe
COMPOSITION & LYRICS
Bernt Isak Wærstad
Songwriter
Irene Labdi Ommes
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Bernt Isak Wærstad
Producer
Irene Labdi Ommes
Producer
Christian Obermayer
Mastering Engineer
歌詞
Kuna watu, wakona shida kubwa, katika dunia
Wamezaliwa na roho, mbaya
Roho chafu, chafu
Ukiwapata wao, waambie watoke
Na wakikuja kwako, wasonge
Ukiwapata wao, waambie watoke
Na wakikuja kwako, wasonge
Kuna watu domo domo (Nyamaza, nyamaza)
Wengine wao sema sema (Nyamaza, nyamaza)
Kuna watu msengenyo (Nyamaza, nyamaza)
Wengine nao na midomo (Nyamaza, nyamaza)
Maadui maendeleo, utasema leo na kesho
Nenda kachukue wembe
Jomoko, jomoko yaye jomoko
Gihero paparipa to onge (Gimagiwacho)
Giwuondo gipimowa, seched te
Giriambo gihero wuoyo to onge (Gimagiwacho)
Wachana na wao wachana na wao e e
Wachana na wao wachana na wao e e
Wachana na wao wachana na wao e e
Wachana na wao wachana na wao e e
Kuna watu domo domo (Nyamaza, nyamaza)
Wengine wao sema sema (Nyamaza, nyamaza)
Kuna watu msengenyo (Nyamaza, nyamaza)
Wengine nao na midomo (Nyamaza, nyamaza)
Maadui maendeleo, utasema leo na kesho
Jipe kazi we mzembe
Nenda kachukue wembe
Written by: Bernt Isak Wærstad, Irene Labdi Ommes