album cover
Mapacha
album cover
Mapachaは、アルバム『{albumName}』の一部として2009年8月4日にSauti Sol EntertainmentによりリリースされましたMwanzo
アルバムMwanzo
2009年8月4日
レーベルSauti Sol Entertainment
BPM97
メロディック度
アコースティック度
ヴァランス
ダンサビリティ
エネルギー

ミュージックビデオ

ミュージックビデオ

歌詞

[Verse 1]
Mapacha hawatenganishwi
Kalmu nami muandishi, muandishi
Usinilenge mi malanga aa
Sina mengi mimi nina shairi mashairi ooh
[Chorus]
Wajua nakupendaa
Wajua nakulinda musichana wa Afrika
Wajua nakupendaa
Wajua nakulinda msichana wa Afrika
[Verse 2]
Uje nizalie musichana
Nami nikupe wewe kijana
Penzi linawiri nakamwe tusilisalitii
Sina mengi mm nina shairi mashairi wwoouu
[Chorus]
Wajua nakupendaa
Wajua nakulinda we kidosho wa Afrika
Wajua nakupendaa
Wajua nakulinda msichana wa Afrika
[Refrain]
Ooh ni wewe tu, ni wewe napenda
Ni wewe wewe, ni wewe nataka
Afrika nzima yakutamani ni wewee
Ni wewe, wewe, wewe, wewe, wewe ee
[Chorus]
Wajua nakulinda msichana wa Afrika
Wajua nakulinda we kidosho wa Afrika
[Chorus]
Wajua nakupendaa
Wajua nakulinda we kidosho wa Afrika
Wajua nakupendaa
Wajua nakulinda msichana wa Afrika
[Chorus]
Wajua nakupendaa
Wajua nakulinda msichana wa Afrika
Wajua nakupendaa
Wajua nakulinda
[Outro]
Wajua nakupendaa
Wajua nakulinda
Wajua nakupendaa
Wajua nakulinda
Written by: Bien Aime Alusa, Polycarp Otieno, Savara Mudigi, Willis Chimano
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...