ミュージックビデオ
ミュージックビデオ
クレジット
PERFORMING ARTISTS
Shei Savage
Performer
COMPOSITION & LYRICS
George Maina
Songwriter
James Maina
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Shei Savage
Producer
歌詞
Yeah yeah
Shei savage on the track si ati nini
Yeah ay yeah
Mbogi ilibebwa akili juu dem alikam na mini
Amezicarry amezibeba ai ai siamini
Kuwakunywa kama chai ya sasini
Nambali moja si ya pili
Wananifuata kama dini
Hii ndio jogoo huwika mjini ai si ati nini
Mbogi iko high inashika ceiling
Ai si ati nini
Hii ndio jogoo huwika mjini ai si ati nini
Mbogi iko high inashika ceiling
Ai si ati nini
Mbogi imejipa fom imejipa ai si ati nini
Madem wamejaa si wamejipa ai wako kwa wingi
Fom imejipa fom lazima siku zote za wiki
Fom imejipa tuna maGbag ay skia hio feeling
Mbogi ilibebwa akili juu dem alikam na mini
Amezicarry amezibeba ai ai siamini
Kuwakunywa kama chai ya sasini
Nambali moja si ya pili
Wananifuata kama dini
Hii ndio jogoo huwika mjini ai si ati nini
Mbogi iko high inashika ceiling
Ai si ati nini
Hii ndio jogoo huwika mjini ai si ati nini
Mbogi iko high inashika ceiling
Ai si ati nini
Written by: George Maina, James Maina