クレジット

PERFORMING ARTISTS
Bray Star
Bray Star
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bray Star
Bray Star
Songwriter

歌詞

Mmmh iyeyeye yeye
Nyumbani ulisepa mazima machoni sikuoni tena simu napiga hakuna
Uliniacha mwenzako naumwa hali yangu chechema chechema hata nafuu hakuna
Mmh eeh hukuwaza ninani wa kuituliza nafsi yangu kama si wewe mama ni wewe
Ona mwili umebaki mifupa mitupu sababu ni wee mama ni wewe
Hauna hauna hauna hauna hauna moyo wa huruma
Hauna hauna hauna mapenzi tena
Kiroho kiroho safi japo na duku duku
Kiroho kiroho safi nimekwacha uende
Kiroho kiroho safi nimewaachia wengingine
Kiroho kiroho safi bora nibaki mwenyewe
Aaya iyayaya iyaa aiyeee
ulicho fanya ulinionea sana why mwenzako sikuridhia iyee
ukanivunja zangu mbawa uwaa uwaaa siwezi kupepea
ama shida zilikolea sana ndiomana ukaikimbia kaya
ahadi ulizo nipaga mwaya eh ulisema utavumilia sana
natena utanizalia mwana mwishowe ukachomoa waya eeh iyee
Hauna hauna hauna hauna hauna moyo wa huruma
Hauna hauna hauna mapenzi tena
Kiroho kiroho safi japo na duku duku
Kiroho kiroho safi nimekwacha uende
Kiroho kiroho safi nimewaachia wengingine
Kiroho kiroho safi bora nibaki mwenyewe
Iiiiiiiiii iiii iiiiih aaaaaaaaaaaah
Mamamamama eeeh ei yeeeh
Ila nitazimiss bingiri bingiri bayoyo
nitazimiss bingiri bingiri bayoo
zile kwachu kwachu bingiri bingiri bayoyo
mara uni fukuzee bingiri bingiri ba yoo
Written by: Bray Star
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...