クレジット
PERFORMING ARTISTS
Official Gachi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Fatuma Ally Omary
Songwriter
歌詞
MY MIND
Girl a wanna let u know that bado sijapata
Sijajipata ulinipa nini ohh my God
And a wanna let ue know that
Niliyakanyaaaga kwa ile time
Tulishindwa nini oohh my God aanhh
Jua la utosi come close
Kila napopata tu ni mikosi
Kwani kwako ajee eeenh umejipatajee eenh
Right now nasotaa sanaa aanh
Uuuhhh uhhuhhh
In ma mind nakukumbkaaa aaanh
Why yho on ma mind
In my memoories aaanh aaaanhh
Najiuliza hivi tuliachanaje me and you uuh
Utulivuuuu aaanhhh aaanhhh
Na upendo wako naurudishaje kwanguuu
Haipiti time nakukumbukaaa
Ka moyo kangu kanabaki kujutaaa
Ukweli sifaham yalotukutaaaa
Amaaaa ndo tulikurupukaaaaa
Right now nasotaa sanaa aanh
Uuuhhh uhhuhhh
In ma mind nakukumbukaaa aaanh
Why yho on ma mind
Written by: Fatuma Ally Omary