クレジット

PERFORMING ARTISTS
Jerebet
Jerebet
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jerebet Munyoroku
Jerebet Munyoroku
Songwriter

歌詞

Verse 1
Nilipokua kwenye njia
Nilianguka time and time again
Hukuniwacha kwenye shida
Ulinishika mkono time again
Na umecome through, through
Kwa kila kitu
Maishani mwangu nimekuona Mungu
'Kuwa mtrue, true
Kwa kila kitu
Maishani mwangu nimekuona Mungu
Wema wako na fadhili zako
Zimenifunikia
Wema wako na fadhili zako
Zimenifunikia
Chorus
Wewe ni Mshindi, we, wewe ni Mshindi
Wewe ni Mshindi, we, wewe ni Mshindi
Wewe Adonai, we, wewe Adonai
Wewe ni Mshindi, we, wewe ni Mshindi
Verse 2
Na utatayarisha farasi ya siku ya vita
Na wokovu ni wa Bwana, adui hawezi
Nakuabudu, nakuheshimu
Na silaha za adui ni vyombo vya Mungu
I'm so grateful, thankful
For the battles that you fought for me
I'm so grateful, thankful
For keeping your promises
Na umecome through, through
Kwa kila kitu
Maishani mwangu nimekuona Mungu
'Kuwa mtrue, true
Kwa kila kitu
Maishani mwangu nimekuona Mungu
Wema wako na fadhili zako
Zimenifunikia
Wema wako na fadhili zako
Zimenifunikia
Chorus
Wewe ni Mshindi, we, wewe ni Mshindi
Wewe ni Mshindi, we, wewe ni Mshindi
Wewe Adonai, we, wewe Adonai
Wewe ni Mshindi, we, wewe ni Mshindi
Written by: Jerebet Munyoroku
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...