album cover
Nalala
album cover
Nalalaは、アルバム『{albumName}』の一部として2024年5月24日にDaway (Tz)によりリリースされましたNalala - Single
アルバムNalala - Single
Released2024年5月24日
レーベルDaway (Tz)
BPM133
メロディック度
アコースティック度
ヴァランス
ダンサビリティ
エネルギー

歌詞

Ahsante kwa kunifanya chaguo umechagua ambapo
Mbawa zako hazijakosea kituo umetua kunako
Baby ngoja nikung\'ate sikio nikupe hadithi ambazo
Zilinitesa kipindi kile nakula kwa macho
Nililizwa na wengi
oooh baby
Nilishaingizwa king
Oooh baby
Visa vingi vitimbwi ila taji nikavuliwa
Nilishare na wengi
Na sio chakula mapenzi
Ikafika kipindi mahusiano nikachukia
Sema penzi lako ukinipa lote
Nalala
Ukinipa lote
Nalala
Ukinipa lote
Nalala
Baby penzi lako ukinipa lote
Nalala
Lote lote
Nalala
Ukinipa lote
Nalalaaa
Kumbe sifa ya moyo ukipenda huwaga haubagui
Sifa ya choyo huja kipindi ambacho hautoi
Sifa ya uongo ukificha ukweli unakuumbua
Ila sifa yangu mimi nakupenda mpaka wanajua
Nililizwa na wengi
oooh baby
Nilishaingizwa king
Oooh baby
Visa vingi vitimbwi ila taji nikavuliwa
Nilishare na wengi
Na sio chakula mapenzi
Ikafika kipindi mahusiano nikachukia
Sema penzi lako ukinipa lote
Nalala
Ukinipa lote
Nalala
Ukinipa lote
Nalala
Baby penzi lako ukinipa lote
Nalala
Lote lote
Nalala
Ukinipa lote
Nalalaaa
Written by: ALISTIDES HERMAN
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...