ミュージックビデオ
ミュージックビデオ
クレジット
PERFORMING ARTISTS
Anastacia Muema
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Anastacia Muema
Songwriter
歌詞
MTANGULIZE MUNGU
Chorus: Atafanya njia pasipo na njia, atakupitisha pasipo pitika, mtumaini Mungu, mtumaini yeye. Mtangulize Mungu, mtangulize yeye.
1. Ukiulizwa ni nani anayekupandisha, waambie ni yule anayepandisha jua kila kukicha.
2. Wanaochukia unapoinuliwa juu, wajue hata taa wala haitawakia uvunguni.
3. Hata wakisema watokea mahali du ni, wajue yupo anayewasha nyota katika giza nene.
Written by: Anastacia Muema


