album cover
Tuonane (Remastered)
10
World
Tuonane (Remastered)は、アルバム『 』の一部として2024年6月21日にLomodoによりリリースされましたTuonane (Remastered) - Single
album cover
リリース日2024年6月21日
レーベルLomodo
メロディック度
アコースティック度
ヴァランス
ダンサビリティ
エネルギー
BPM104

クレジット

PERFORMING ARTISTS
Lomodo
Lomodo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Liberatus Zeno Yeronimo
Liberatus Zeno Yeronimo
Songwriter

歌詞

Hiiih!!!!
Najua hatujawahi kuonana
Ila kwa simu tu na massage
Whatsap kutuma
Status picha zanichanganya
Zako pigo tu mimi sijilewi
Natyipe nafuta
Japo nikiomba picha unatuma
Ila bado siamini hivi nikweli unanipenda
Shida zako nitatue zakwangu nikisema
Inakuwa lawama inamaana bado hujaniamini
Nahisi kwenye moyo wangu imani
Inavunjika
Nachoshwa na ahadi zoko ooh!
Zisizotimia
Miezi na siku sasa inakatika hatujaonana
Kila tukipanga mwenzangu unapangua
Chorus
Fanya tuonane
Mimi nawe tuonane
Ufanya tuonane
Kama kusubili nishasubili sana
Fanya tuonane
Kama mapenzi ya simu mwenzako akah
Ufanya tuonane
Yeiyeee yeeee!!
Verse
Nasiokama siwezi kupenda kwingine
Nikakuacha wewe
Ila moyo wangu unaniambia vumilia
Mara ngapi tumepanga mimi na wewe
Ila muda wangu unashindwa kuzingatia
Mie mwenzako nikama mgonjwa uelewe
Picha zako na emoje zinanironga
Hata nikilia huoni yeeeh!!
Usinifanye pakacha mwenzako nikavuja
Nahisi kwenye moyo wangu imani
Inavunjika
Nachoshwa na ahadi zoko ooh!
Zisizotimia
Miezi na siku sasa inakatika hatujaonana
Kila tukipanga mwenzangu unapangua
Chorus
Fanya tuonane
Mimi nawe tuonane
Ufanya tuonane
Kama kusubili nishasubili sana
Fanya tuonane
Kama mapenzi ya simu mwenzako akah
Ufanya tuonane
Yeiyeee yeeee!!
Iyeeee uwooooh yeee!!!
Iyeee uwooooh
ufanye tuonane iyeee!!
Ufanye tuonane uwoooh!!
Written by: Liberatus Zeno Yeronimo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...