クレジット

PERFORMING ARTISTS
Watendawili
Watendawili
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Edgar Israel Onyach
Edgar Israel Onyach
Songwriter
Ywaya Eugine Simon
Ywaya Eugine Simon
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kobby Worldwide
Kobby Worldwide
Producer

歌詞

Shamba la mawe kupata mapenzi ya ukweli
Ni kibarua
Kweli Mungu ulinibariki
Wengi wazuri wanapendeza ata zaidi ya maua
Mungu kanipa mie rafiki
Bariki wengine waweza kuskia tunavyoskia
Na mposti ananiposti
Hatuogopi kutangazia dunia
An aheri pile
Chunya nigi kwe nimetulia
My peace of mind take my heart
Ikue your souvenir
Juu ata jambazi sugu anapendwa
Ata shetani mungu anampenda
Ata jambazi sugu anapendwa
Ata shetani mungu anampenda
 
Mapenzi ni ugonjwa inapatwa na kila mtu
Hujui itafika mchana ama usiku
Aliyekuwacha
Ajue simpendi
Ila mi namshukuru
Alifanya tukapatana
Usiku nikilala
Mpenzi wangu ako na mimi
Hana taabu sina taabu
Saa zingine siamini
Bariki wengine waweza kuskia tunavyoskia
Na mposti ananiposti
Hatuogopi kutangazia dunia
An aheri pile
Chunya nigi kwe nimetulia
My peace of mind take my heart
Ikue your souvenir
Juu ata jambazi sugu anapendwa
Ata shetani mungu anampenda
Ata jambazi sugu anapendwa
Ata shetani mungu anampenda
 
Mapenzi ni ugonjwa inapatwa na kila mtu
Hujui itafika mchana ama usiku
Ayie kodi mama
Ayie kodi
Bebi moyo wangu ayaoni
Ayie kodi mama ayie kodi
Ona moyo wangu ayaoni
Mapenzi ni ugonjwa inapatwa na kila mtu
Hujui itafika mchana ama usiku
Written by: Edgar Israel Onyach, Ywaya Eugine Simon
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...