ミュージックビデオ
ミュージックビデオ
クレジット
PERFORMING ARTISTS
Fena Gitu
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Trufena Gitu
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Fena Gitu
Producer
Mike Muema
Producer
Só Fresh
Producer
歌詞
I never been the kinda girl
To make the first move
Me ni mshy
Picha zako me husend kwa group
Mmh me hudie
Coz you\'re just my type
though I try not to show
But my best friends know how
When I see you issova
I lose my composure
Chini ya waba nimekunoki
Me huwanga nimekunotice
Ndani ya mbogi
Mali safi toka Nairo-bi
Mimi huwanga lowkey
Lini utaninotice
Katikati ya mbogi
Mali safi toka Nairobi
Umewahi kuwahi
Mali safi toka Nai
Juu me nimeiwahi
Mali safi toka Nai
Wallahi wallahi
Nimewahi kuwahi
Mali safi toka Nai
Mali Safi toka Nairobi
Najua wamepiga kambi kwenye DM
Mungu nisaidie
I\'m into you but you\'re oblivious
Liquid courage ndio nakunywa vi Copious
Hadi nachoma
I hope I get another chance kukuona
Tukimake out in the dark kwa corner
I\'m a goner, na
Sijali ni nani jali nani anatuona
Ah ah wadaku watakoma
Chini ya waba nimekunoki
Me huwanga nimekunotice
Ndani ya mbogi
You Stand Out, hey hey
Mimi huwanga lowkey
Lini utaninotice
Katikati ya mbogi
Mali safi toka Nairobi
Umewahi kuwahi
Mali safi toka Nai
Juu me nimeiwahi
Mali safi toka Nai
Wallahi wallahi
Nimewahi kuwahi
Mali safi toka Nai
Mali Safi toka Nairobi
Ni mali safi safi
Ulikuwa umefichwa wapi wapi
Bale ya asubuhi
Yako hawawezi copy
Yako original
Stoko camera copy
Stoko Louis Vuitton
This for the ones
Who are just having fun
And the few lucky ones who found love
In the big bad city
Umewahi kuwahi
Mali safi toka Nai
Juu me nimeiwahi
Mali safi toka Nai
Wallahi wallahi
Nimewahi kuwahi
Mali safi toka Nai
Mali Safi toka Nairobi
Written by: Trufena Gitu