ミュージックビデオ

ミュージックビデオ

クレジット

PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Zuchu
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuhura Othman Soud
Zuhura Othman Soud
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Trone
Trone
Producer

歌詞

[Intro]
Maneno yenu, sio msumari
Kusema kwamba yatanitoboa
Na tena wala, wala sijali
Sioni jipya la kunikomoa
Mnachojua majungu
Binadamu mnachosha
Akishanipenda Mungu
Na mama yangu inatosha
[Refrain]
Money on my mind, God on my side
Sina muda, muda wa negativity
Money on my mind, God on my side
Sina muda, muda wa negativity
[PreChorus]
Nyi mkinisema-sema mjue hiyo ndo napenda
Nyi mkinisema-sema mjue naona raha
Nyi mkinisema-sema mjue hiyo ndo napenda
Nyi mkinisema-sema mjue naona raha
[Chorus]
I don't care
I don't care
I don't care
I don't care
[Verse 1]
Mziki yangu yagonga, ila mi wa leo sio wa jana
Kweli sijavuna matunda, ila walao hawakosi mlo mama
Na wenzangu nawatunza, ndoto zao ziwezefana
Japo shukrani ya punda, wakishapata wanantukana
[Bridge]
Mnachojua majungu
Binadamu mnachosha
Akishanipenda Mungu
Na mama yangu inatosha
[Refrain]
Money on my mind, God on my side
Sina muda, muda wa negativity
Money on my mind, God on my side
Sina muda, muda wa negativity
[PreChorus]
Eti nyi mkinisema-sema mjue hiyo ndo napenda
Nyi mkinisema-sema mjue naona raha
Nyi mkinisema-sema mjue hiyo ndo napenda
Nyi mkinisema-sema mjue naona raha
[Chorus]
I don't care
I don't care
I don't care
I don't care
Written by: Zuhura Othman Soud
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...