クレジット

PERFORMING ARTISTS
Shuga
Shuga
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Shuga
Shuga
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Shuga
Shuga
Vocal Producer

歌詞

Sikuizi hanitaki tena
Tumekua maadui
Simu haziiti tena
Kama paka na chui
Hanipendi na Moyoni mwake alishaga nifuta
Sikuizi kachenji hata surayangu hataki kukumbuka
Picha zangu kafuta
Kapata mwengine
Wanapendana
Mapenzi yao
Hayawezekani
Labda Pengine
Tulilazimishana
Mapenzi yangu hayaonekani
Vijembe akipost picha
Kapsheni zao hatuachani
Mahaba kila kukicha
Rohoyangu ndogo na koma
Simu anapokelea chekundu
Sijui au labda nigunduu
Sawa ridhiki saba mafungu
Sina pakupoza machungu
Written by: Shuga
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...