クレジット
PERFORMING ARTISTS
Salmin Swaggz
Lead Vocals
Damian Soul
Lead Vocals
Maddoh
Background Vocals
Nuri Bedja
Saxophone
COMPOSITION & LYRICS
Damian Innocent Mihayo
Songwriter
Salmin Kigondo
Songwriter
Abdul Msiku
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Bobo Made It
Producer
歌詞
[Intro]
Yeba, yeba
Yeba
[Verse 1]
Kalivyo simple hakana noma (Yeba)
Kashepu dede ka amechorwa (Yeba)
Chumbani soka ka Maradona (Yeba)
Michezo ya mbuzi kagoma
[Verse 2]
Ongeza utundu, niteke
Nitupe magongo, kiwete
Basi punguza mapepe
Na mi mazaga nilete
[Verse 3]
Baby yooh baby
Umenikamata kamatika
Mwenzio sijiwezi
Nimeloa, sijiwezi
[Chorus]
Yeba, yeba
Yeba, yeba
Yeba, yeba
Yeba,
[Bridge]
Anacheza, ananesa
Anatikisa, anadeka
Anapenda, anacheza
Anadeka, ananesa
Anacheza, ananesa
Anatikisa, anadeka
Anapenda, anacheza
Anadeka, ananesa
[Verse 4]
Naskia kuna viswaswadu vinakukataa
Wanakushangaa kwanini umedata na huyu jamaa
Unafanya mpaka najiuliza mama “Who am I?”
Wa kunipa vyote hujabikiza, nifungue tai, please
[Verse 5]
Usiwe sio, with your Dior
You killing me ohh! So treat me like your daddy oh
Wasikudanganye wakakushika maskio, yeah
Umbea umbea wasiniletee
[Chorus]
Na hilo shepu lako unanifanya niwe (Yeba)
Na nnavyompenda mjomba usihadithiwe (Yeba)
Smart kama K. Ntuyabaliwe (Yeba)
Niache nikutunze wasije wakaku beba
Kashanichanganya na mapenzi (Penzi)
Nahonga mshahara wote kila mwezi (Mwezi)
Moyo ushapagawa na mikiki, ashanigombanishaga na marafiki
[PreChorus]
Baby yooh baby
Umenikamata kamatika
Mwenzio sijiwezi
Nimeloa, sijiwezi
[Chorus]
Yeba, yeba
Yeba, yeba
Yeba, yeba
Yeba
[Bridge]
Anacheza, ananesa
Anatikisa, anadeka
Anapenda, anacheza
Anadeka, ananesa
Anacheza, ananesa
Anatikisa, anadeka
Anapenda, anacheza
Anadeka, ananesa
[Chorus]
Yeba, yeba
Yeba, yeba
Yeba, yeba
Yeba
Written by: Abdul Msiku, Damian Innocent Mihayo, Salmin Kigondo