クレジット

PERFORMING ARTISTS
Cheed
Cheed
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rasheed Mganga
Rasheed Mganga
Songwriter

歌詞

Yani penzi limeiva biu biu
Ndani linanimaliza kiu kiu.
Tukowapi maana huku sio duniani ah!
Hizi raha unazonipa
Hazipatikani duniani hii aah
Yukowapi kungwi alokufunda unyagoni aah!
Zawadi yake ntampa aaah
Ye
Penzi tamu sukari guru
Napata matamu moyo uko hurueehii
Tabasamu usoni unanuru
Wanipa vitamu napiga ndurueeh
Lako penzi linanichanganya (changanya)
Kukuacha me siwezi
Ona unavyo nivuruga (weh hayaah)
Ha aah yaah matamu matamu
Anayonipa huyuuh
Matamu matamu
Ha aah yaah matamu matamu
Anayonipa huyuuh
Matamu matamu
Yabara na pwani pemba visiwani
Usimpimieh
Tuko mahabani nyinyi kitu gani
Ni yeye na mieehii
Jamani mapemzi ya kweli yaponyinyi
Napewa gizani mwangani
Raha mpaka utosini
YE!
Penzi tamu sukari guru
Napata matamu moyo uko hurueehii
Tabasamu usoni unanuru
Wanipa vitamu napiga ndurueeh
Lako penzi linanichanganya (changanya)
Kukuacha me siwezi
Ona unavyo nivuruga (weh hayaah)
Ha aah yaah matamu matamu
Anayonipa huyuuh
Matamu matamu
Ha aah yaah matamu matamu
Anayonipa huyuuh
Matamu matamu
Written by: Rasheed Mganga
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...