ミュージックビデオ

ミュージックビデオ

クレジット

PERFORMING ARTISTS
Fraser Thatiah Bundi
Fraser Thatiah Bundi
Vocals
Hempstone Bill Smith
Hempstone Bill Smith
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Fraser Thatiah Bundi
Fraser Thatiah Bundi
Songwriter
Hempstone Bill Smith
Hempstone Bill Smith
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Soundkraft
Soundkraft
Engineer

歌詞

[Intro]
Mfanyikazi!
Skiza
Thelathini!
We, Fraser, Fraser
Unasemaje?
Kam uskie hii, kam uskie hii
Nakuzaski
Listen
[Chorus]
Bro, look, nakimbiza breesh
Early morning nakimbiza pesa, akileta ujinga delete
Hakuna kitu mtafanya nikimwoket kwenu, your deceased
Wanadunga motonje wakidai food rima, nasema"Bon Appetit"
Bro, look, nakimbiza breesh
Early morning nakimbiza pesa, akileta ujinga delete
Hakuna kitu mtafanya nikimwoket kwenu, your deceased
Wanadunga motonje wakidai food rima, nasema"Bon Appetit"
[Verse 1]
Huh, Bon Appetit
Mbona manigga wanaswitch
Mbona manigga wanadiss, Gaza
Tukisonga tunashikisha jaba
Vitu nafanya unarada bana
Mimi na Fraser kwa doba ni mbaya
Biz nafanya haidai mafala
Labda goshodo amebeba marasa
[Verse 2]
Cheki, kumedi na pimbi haiwezi
Mboka ni doba nalala wikendi
Nakumbuka tukiwanga Tigoni
Kuna maninja walidundisha body
Ndani ma Quad Bike
E-Bike ama horse ride
[Verse 3]
Huh, tuko malap
Manze na Lache anacall matime
Itabidii nimesare mahoe
Kama ni ngori, unapigwa block
Kama ni ngori, unapita block
Kuna buda anatumia rocks
Kwa stu tuko high, tunachop
Na, kina Ado wako on
Huh, skiza, kina Ado wako on
[Chorus]
Bro, look, nakimbiza breesh
Early morning nakimbiza pesa, akileta ujinga delete
Hakuna kitu mtafanya nikimwoket kwenu, your deceased
Wanadunga motonje wakidai food rima, nasema"Bon Appetit"
Bro, look, nakimbiza breesh
Early morning nakimbiza pesa, akileta ujinga delete
Hakuna kitu mtafanya nikimwoket kwenu, your deceased
Wanadunga motonje wakidai food rima, nasema"Bon Appetit" (Wafanyikazi!)
[Verse 4]
Alisema ataspin huku tena, he thinking he me
Anadhani ni G
Siezi tokea na bally, natakaa uone utii, mtu jamo on feet
Mi nangoja tumeet, unashinda umebonga, mziza aligeuka bitch
Skiza, siezi gwaya wakidai drama, natokea nakuja tunakumaliza
Na madoba steady narelease, pop a Xanny then im goin' geek
Bad bitch ako good with her head, sijui aje ako good on her knees
Tunageuzia mafala for free, siezi fanya kitu bila team
[Verse 5]
Anasema anataka tuwin na furaha napata kadaila nikisin
Naifanyia cash, shillingi, jo kuzoza kwetu haushindi
Niliacha kumedi na mbogi ju mi najingam, hawanikubalingi
Nakuswitch najua utaduck ikifika kubanja unasema mengi
Mi natema wanashinda wanayap utakutwa magiz unasema nini
[Chorus]
Bro, look, nakimbiza breesh
Early morning nakimbiza pesa, akileta ujinga delete
Hakuna kitu mtafanya nikimwoket kwenu, your deceased
Wanadunga motonje wakidai food rima, nasema"Bon Appetit"
Bro, look, nakimbiza breesh
Early morning nakimbiza pesa, akileta ujinga delete
Hakuna kitu mtafanya nikimwoket kwenu, your deceased
Wanadunga motonje wakidai food rima, nasema"Bon Appetit"
Written by: Fraser Thatiah Bundi, Hempstone Bill Smith
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...