クレジット
PERFORMING ARTISTS
ANISET BUTATI
Choir
COMPOSITION & LYRICS
ANISET BUTATI
Songwriter
歌詞
Siwezi kuuujiiibu
Nitanyamazaaah
Aaaaaah
ili Mungu aniteteee
Nitatulia tuuh
Nitanyamazaaaah
Mungu ndiye msemaji waaanguuu
Nitanyamaza
Aaaaaah
ili Mungu aniteteee
Nitanyamaza ili Mungu aniteteee
Nitanyamaaazaah
Nitanyamaaazaah
Oooooooh
Nitatulia tuuuuli
Nitanyamazaaah
Aaaaaah
ili Mungu aniteteee
Nitatulia tuuh
Nitanyamaaazaah
Nitanyamaaazaah
Oooooooh
Nimechagua kunyamaza
Nimechagua kutuliaaah
Kweli ya maisha ya maisha yangu anae ijua ni Munguuh
Siwezi kujieleza kwa wanadamuuu
Huyu anasema lile na huyu anasema lileeee
Nitajibu lipi niache lipiii
Maneno yanachomaa
Maneno yanaumizaaa
Lakini nimechagua kunyamaazaa
Wanatoa mashtaka wenyewe
Wanajibu mashtaka wenyeweeee
Wanakuwa mashahidi wenyeweee
Wanatoa hukumu wenyeweee
Nimechagua kunyamaza
Nimechagua kutuliaaah
Siwezi kuuujiiibu
Nitanyamazaaah
Aaaaaah
ili Mungu aniteteee
Nitatulia tuuh
Nitanyamazaaaah
Mungu ndiye msemaji waaanguuu
Nitanyamaza
Aaaaaah
ili Mungu aniteteee
Nitanyamaza ili Mungu aniteteee
Nitanyamaaazaah
Nitanyamaaazaah
Oooooooh
Nitatulia tulii
Nitanyamaaazaah
Ili Mungu aniteteee
Nitanyamaaazaah
Oooooooh
Nanyi mutanyamaza atawapigania asema BWANA
Atanipigania Bwanaaa
Katikati ya maneno yao nisije jibu nikakoseaaa
Mungu ndiye anajua kujibuuu
Kujielezaaaaa
Kujielezaaaaa
Mungu ndiye atakaye nielezeaaa
Vile nilivyo anajuaaa
Maisha yangu anajuaaaa
Ukweli wangu anaujuaaa
Siri zangu za moyo anazijuaaa
Nimechagua kunyamaza
Nimechagua kutuliaaah
Siwezi kuuujiiibu
Nitanyamazaaah
Aaaaaah
ili Mungu aniteteee
Nitatulia tuuh
Nitanyamazaaaah
Mungu ndiye msemaji waaanguuu
Nitanyamaza
Aaaaaah
ili Mungu aniteteee
Nitanyamaza ili Mungu aniteteee
Nitanyamaaazaah
Nitanyamaaazaah
Oooooooh
Nitatulia tulii
Nitanyamaaazaah
Ili Mungu aniteteee
Nitanyamaaazaah
Oooooooh
Nitanyamaza ili Mungu aniteteee
Nitanyamazaaaaaah
Written by: ANISET BUTATI