クレジット

PERFORMING ARTISTS
Beka Flavour
Beka Flavour
Performer
Bakari Katuti
Bakari Katuti
First Cello
COMPOSITION & LYRICS
Bakari Katuti
Bakari Katuti
Songwriter

歌詞

CCM IPO NGANGARI
          Verse 1
Eeh namba moja yangu nampa Samia ndimbani
Namba mbili nampa Hussen Mwinyi zanzibar,
Namba tatu ni makamu Mwenyekiti Wasira,
Namba nne Doctor Nchimbi katibu mkuu wa Ccm,
Namba tano yake Amosi Makala,
Ccm chama kubwa utawala,
sera zake zimeshiba sawa sawa pole zao wapinzani,
Viongozi wake hawapendi masihara, wanaichapa kazi ile kisawa sawa
Ndomana kila siku chama kinangara
Kinashika namba one,
Ukihama huku ccm utaenda wapi pengine
Kuna furaha kem kem me unipeleki penginewe,
Chagua chama ccm achana na vyama vingine,
Maendeleo kem kem unataka nini kingine,
           Chorus
Mmh ccm ipo ngangari,
Mama Samia yupo ngangari,
Husseni Mwinyi yupo ngangari ngangari ngangari,
Steven Wasira yupo ngangari,
Doctor Nchimbi yupo ngangari,
Amosi Makala yupo ngangari.
          Verse 2
Mmh ukiuchana moyo wangu kijani kitupu,
Ata damu yangu kijani kitupu,
Ona ata mavazi yangu mmh nikijani kitupu,
Ata bendera yangu mkononi nikijani kitupu,
Kama uko ulipo ndugu unataabika
Karibu ccm unakaribishwa chama letu kubwa na la uhakika maushindi kibao,
Siasa zao ona zakubaatisha kila mwaka wao tunawakalisha,
Wamechoka wako hoi hawatoboi ona wanahangaika,
Ukihama huku ccm utaenda wapi penginewe,
Kuna furaha kem kem me unipeleki pengine,
Chagua chama ccm achana na vyama vinginewe,
Maendeleo kem kem unataka nini kingine.
           Chorus
Ccm ipo ngangari,
Mama Samia yupo ngangari
Husseni Mwinyi yupo ngangari ngangari ngangari,
Steven Wasira yupo ngangari,
Doctor Nchimbi yupo ngangari,
Amosi Makala yupo ngangari ngangari ngangari.
      Auto…
Ccm hoyeee,
Mama Samia hoyeee,
Hussen Mwinyi hoyeee eeh mmh,
Steven Wasira hoyeee,
Doctor Nchimbi hoyeee,
Amosi Makala hoyeeee eeh mmhh.
Written by: Bakari Katuti
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...