ミュージックビデオ
ミュージックビデオ
クレジット
PERFORMING ARTISTS
MASTAR VK
Performer
PRODUCTION & ENGINEERING
Beat Kidd
Engineer
歌詞
Morio usi jali ata kama uli toshea hii ni another chance maisha unaeza ianza tena
Weuuuwee mana rrrr
Ilkua mangware alafu weather ni moscow
Nilkua na taki ya kutoa arosto ki shada ndo nasaka kile kya bobo patana na ule morio alipotea kitambo
Rada ni gani chji ni wapi uliendaga
Sahii ni miaka sita zime pita sjakuona
Nimekua niki kutafuta tena sana
Naskia mwisho ulionekana ume bebwa na mambanga
Pitisha chain wacha kwanza nkae chini
Nime piga miaka sita ndani amini
Leo ndo nime funguliwa kwa izo mapingu
Yani adi naogopa watu wanione karibu
Niaje uli bambwa morio nini ulidoo
Unajua uliacha mama akiwa karibu kuzaa
Sai ukona katoi akona miaka sita
Alafu mtu wako aliolewa na mtu akona kadinga
ata usi seme juu ni mmi nili blanda
Naskia vitu ni mingi zli fanyikia matha
Buda ali dedi bado na mazishi nli hata
Sai ata nishindwa ni wapi ndo ninaeza anza
Najua ukona maswali skizia answer
Me nili shikwa kwanza juu ya kenye nili fanya
Una kumbuka zile enzi nilikua kinara
Tuki chukua mafala kuwatekesha nyara
Sa me nili kua nime jibebea kivitu
Alafu bado nliku nme chochwa na mavittu
Ndirau kama kawa si unajua ni za usiku
Ka ni fala tuki patana piga maombi ya mwisho
Sa iyo the day nilikua na morio ngori
Pori ime jaa niko pake fully loaded
Jana usiku tuli pita na mkoloni
Alafu morio bado ame jipin kiko loaded
Kumbe ule morio alipitaga na tenje
Tenje ikona tracka na ina traciwa na ma njege
Kidogo naskia wasi wasi nkaskia niende
Lakini nkaona acha nikunywe kwanza kabla niende
Nikaenda choo juu venye nilkua nime kazwa
Nika wacha apo morio akiwasuka vile ana penda
Sauti za risasi zili lia zaidi ya saba morio ndo ame lazwa
Me kutoka choo nlikuja ka nime surrender
Kwanza nili stuka roho kidogo isi mame
Ka si kukojoa ilkua pia mmi nizame
Morio ame bakishwa sasa ni mmi nikabe
Walai skuamini
Morio usijali ulitoshea ngori ni ngori kwani nani ajai kosea wali kushika sa ni ka washa tosheka another chance maisha unaeza iyanza tena
Another chance maisha unaeza ianza tena
Another chance maisha unaeza ianza tena
Another chance maisha unaeza ianza tena
Hii ni another chance maisha unaeza ianza tena ×2