クレジット
PERFORMING ARTISTS
Ben Will
Performer
Benson William
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Sharif Saidi Juma
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Chibby
Producer
歌詞
Hee Anawazimu huyu
Chibi Chibi Chibi Chibi Chibi Rastaman
Masela Masela Eti Tuwe Masela
Masela Masela Masela Masela
Naitwa Ben Will
Masela Masela Eti Tuwe Masela
Masela Masela Masela Masela
Anataka ushikaji tusishikane
Simu zake text zake usiku wa manane
Akitendwa ananipigia tukakutane
Zamu yangu anaweka mipaka tusijuaneee
Heeey!!
Msumeno kwenye Msitu, Au kama ukali wa mbwa mwitu
Nishamchoka kila siku, akiwa na Raha me Sina issue
Akichalala ananibip, namtaka ananipa maumivu
Ukweli me nakosa jibu, na cha ajabu hautaki utulivu
Masela Masela Eti Tuwe Masela
Masela Masela Masela Masela
Mmh!!
Masela Masela Eti Tuwe Masela
Masela Masela Masela Masela
Na nnavyojimaliza, kama anasikiliza
Au napitilizaa ananiona ka naigizaa
Uko alipo wanamliza, kiukweli hana uhakika
Wakubaki na kusalimika
Katawaliwa Kama Tanganyika Aaaaah
Msumeno kwenye Msitu, Au kama ukali wa mbwa mwitu
Nishamchoka kila siku, akiwa na raha me sina issue
Akichalala ananibip, namtaka ananipa maumivu
Ukweli me nakosa jibu, na cha ajabu hautaki utulivu
Masela Masela (ooohoo) Eti Tuwe Masela (Eeeeh)
Masela Masela (ooohoo) Masela Masela (mmmh)
Masela Masela (ohhoo) Eti Tuwe Masela (heeeeh)
Masela Masela Masela Masela (Majitaaaa)
Written by: Sharif Saidi Juma