クレジット
PERFORMING ARTISTS
Joefes
Performer
Joseph Nyamwea
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Joseph Nyamwea
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Unspoken
Producer
歌詞
Nairobi jiji la makata
Msee anakupanga
Na kumbe anasaka
Tunapotea after kupata
Hizi panya route jiji wanauza paka
Na hapo ndo utatupata
Na ukitusaka utapaka
Utapaka pa
Ukitusaka Ka
Ukitusaka utapaka
Na hapo ndo utatupata
Na ukitusaka
Utapaka
Utapaka pa
Ukitusaka Ka
Ukitusaka
Huyu dem ni mapepeNishamkulia
Niko na bega alicome kulia
Unacheki right left kuna ndai tulia
Na kukinyesha Jirani cladi unamvulia
Huwanga mbaya Siri usiwai lamba live wire
Usibanje mbaya alafu mbogi unagwaya
Huku panya zetu zinagwara
Makata matata na mbogi inapara
Na hapo ndo utatupata
Na ukitusaka utapaka
Utapaka pa
Ukitusaka Ka
Ukitusaka utapaka
Na hapo ndo utatupata
Na ukitusaka
Utapaka
Utapaka pa
Ukitusaka Ka
Ukitusaka
Lifestyle ya kumanga bugger
Nikiwa chuom na amina si hubuy jaba
Saa saba ashaitisha ashaakisha
Kisha akaitisha nare
Koffe inaslap ka bare
Hio si bar hii ni factry ya liquor
Fika hii par niko high ka
Glory malaika star
Ka jua
Na hapo ndo utatupata
Na ukitusaka utapaka
Utapaka pa
Ukitusaka Ka
Ukitusaka utapaka
Na hapo ndo utatupata
Na ukitusaka
Utapaka
Utapaka pa
Ukitusaka Ka
Ukitusaka
Written by: Joseph Nyamwea

