album cover
Dance
album cover
Danceは、アルバム『{albumName}』の一部として2026年1月26日にDubnest RecordsによりリリースされましたDance - Single
アルバムDance - Single
2026年1月26日
レーベルDubnest Records
BPM174
メロディック度
アコースティック度
ヴァランス
ダンサビリティ
エネルギー

ミュージックビデオ

ミュージックビデオ

歌詞

Ven Ven, Vente conmigo
Quieres venir conmigo al infinito?
La vibra habla, ven a bailar,
El alma sabia sabe soñar!!
Hey guys dunia mapito
Enjoy muziki afu chezza mpaka mwisho
Vibe vibe dunia mapito-
Enjoy this life of and afu cheza na mwisho
Vena baila vamo aso nyari
Cheza pia ufrahi alafu Maisha usijali
Cheza kwa isia alafu maisha usually
Watoto wote mje mbele
Watoto wote mje mbele
Watoto wote mje mbele
Watoto wote mje mbele
Njooni tucheze
Njooni tucheze
Njooni tucheze
Ven, ven...
Vente conmigo...
¿Quieres venir conmigo al infinito?
La vibra habla, ven a bailar el alma sabia sabe soñar.
Aaah yeah ok eeh
Yani nacheza na shingo na mwili nao wote nikama na vile unacheza,
Cheza kiuno na fanya na vile na kama na mwili unakata,
Kwani ni vipi kwani nini mbona na leo akuna matata ,akuna matata,akuna matata akuna mashaka akuna chochote akuna chochote akuna taraka, hey dancing dancing
Hey wewe ukicheza na vile kwa stepu,
Mwezako nacheza na vile na peku,
Mana najua na mama ni mzungu lakini na wewe nikiona unashepu,
Navokupenda mziki leo nacheza na sweet,
Mana na vibe ni jingi na leo kwakweli na mimi ni fiti,
Ngoja nicheze na sweet,ili nifrahi muziki,ngoja nicheze na leo na pia nakuja kufanya na simple
Hey
Dijeyow zima Muzik na maana na simu sioni mfukoni,
Zima kabisa kwa mana nacheki mifuko na simu sioni,
Heeeza unavoweza
Cheza cheza cheza cheza cheza ×2
Stress tupa Kule, stress weka kando
Tukifurahi kwa pamoja basi uo ndio mpango
Wake up early in the morning me wi maniga tuko party.
Party zone side me wi maniga tunafrahi
Beat ime bounce
DJ ka announce
Huu muda wa kucheza so tujipe nafasi.
Hi ngoma mbona noma na kiddy ndio ka gonga sound inaskika bongo to Dodoma
Cheeesa unavoweza cheeeza cheza cheza cheza
Cheza unavoweza
Written by: Emmanuel Samson Masatu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...