歌詞

Thamani yake hamjui naijua mie Mapenzi yake matamu wacha niwambie Msijipe vipeperepe huyu ni wangu naye wake mie Makubwa nilioona kwake msitaje niwahadithie Kimbelembele cha nini kusema yasio wahusu, si mbona yenu hatusemii Hasara yake furani anakonda kwa penzi letu, muone hata haya haonii Niacheni na mpenzi wangu eeh kibambaee Anayonipa yanakata kiu yangu eeh kibambaae Jamani huyu ni wangu nimempenda mwenyewe mkisema hapendezi nimempenda mwenyewe Mkisema choka mbaya nimempenda mwenyewe Mkiesma hainafai nimempenda mwenyewe Nipo naye kipenzi tunapeana malezi, yaletuliyofunzwa na wazazi Tunaogopa ya siku hizi ya biashara na maradhi, acha tujinafasi tujienziii Namuomba mola wetu hatuepushie, alilinde penzi letu eeeh Namazito mbele yetu yatuondokee, vinono vizidi kwetu eeh x2 Nicheni na mpenzi wangu eee kibambaee Anayonipa yanakata kiu yangu ee kibambaae Walosema hayawi mbona yamekuwa, walosema simpatii Walosema simpati mbona nimempata, walosema hayawi Ayayayaaaa mbona nimempata ayayayaaaaa Ayayayaaa mbonayamekuwa ayayayaaaaa
Writer(s): Ray Evans, Jay Livingston Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out