ミュージックビデオ
ミュージックビデオ
クレジット
PERFORMING ARTISTS
Reuben Kigame
Performer
Sifa Voices
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Sifa Voices
Songwriter
歌詞
Zaburi mia moja thelathini na sita
Tumshukuru bwana na tuimbe pamoja
Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele
Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele
Mshukuruni Mungu wa miungu
Fadhili zake ni za milele
Mshukuruni Bwana wa mabwana
Fadhili zake ni za milele
Amefanya maajabu
Fadhili zake ni za milele
Yeye alifanya mbingu na nchi
Fadhili zake ni za milele (sema kabisa)
Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele
Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele
Amefanya mianga mikubwa
Fadhili zake ni za milele
Jua litawale mchana
Fadhili zake ni za milele
Mwezi na nyota usiku
Fadhili zake ni za milele
Akatandaza nchi juu ya maji
Fadhili zake ni za milele (imba kabisa)
Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele
Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele
Aliyeigawa Bahari ya Shamu
Fadhili zake ni za milele
Akavusha Waisiraeli
Fadhili zake ni za milele
Aliyemshinda Farao
Fadhili zake ni za milele
Na majeshi yake yote
Fadhili zake ni za milele (sema kabisa)
Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele
Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele (Ihaji chuna hio guitar)
Ni vema kuhesabu baraka ambazo bwana amekatuletea
Yeye ni mwema kwetu, sema kabisa!
Kama humchezei Bwana, utatwambia unamchezea nani
Yeye aliyetukumbuka
Fadhili zake ni za milele
Katika unyonge wetu
Fadhili zake ni za milele
Atuokoaye na watesi
Fadhili zake ni za milele
Mungu kweli ni wa ajabu
Fadhili zake ni za milele (imba kabisa)
Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele
Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele
Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele (one more time)
Mshukuruni Bwana
Kwa kuwa ni mwema
Kwa maana fadhili zake
Ni za milele
Written by: A, Reuben Kigame Na Sifa Voices