歌詞

Ni asante mama kwa uji ya asubuhi Nimewahi kuwahi eeh Na sasa niko fiti Nairobi Maisha ya kulima siyo rahisi Lakini, najua ni wengi wananingojea Nifike na Mahindi mahindi Wananchi wanataka kula ugali Nyumbani Mahindi, mahindi Raia wanataka unga ya ugali Nyumbani Anasema anatumia jiko nyumbani, yeeh Eti kilo ya nyama yangoja nyumbani na ugali Huku sisi tuko kazi Tukichelewa itakuwa tena kesi Nairobi jueni, tuko njiani Twaja na Mahindi mahindi Wananchi wanataka kula ugali Nyumbani Mahindi, mahindi Raia wanataka unga ya ugali Nyumbani Jogoo, Hostess Sembe, Pembe Zote kazi ya mikono yetu Zote kazi ya mikono yetu Jogoo, Hostess Sembe, Pembe Zote kazi ya mikono yetu Zote kazi ya mikono yetu Mahindi mahindi Wananchi wanataka kula ugali Nyumbani Mahindi, mahindi Raia wanataka unga ya ugali Nyumbani
Writer(s): Brian Chweta Omwoyo, Maureen Muthoni Kunga, Wambui Ngugi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out