뮤직 비디오

Diamond Platnumz - Utanipenda (Lyric with English Translation Video)
{artistName}의 {trackName} 뮤직 비디오 보기

제공

크레딧

실연 아티스트
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
보컬
작곡 및 작사
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
송라이터
프로덕션 및 엔지니어링
Tuddy Thomas
Tuddy Thomas
프로듀서

가사

Tanta lala la Ooh la la la la la Mmh Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale Nimeshindwa kulipa bima nimeuza Madale Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree Umeneja umebaki jina Hanitaki hata Tale Oooh wale shabiki zangu Walionisifu kwa maneno matamu Leo maadui zangu Ni mitusi tu kwa instagram Kimwanaa si dada angu Eti nae hanifahamu Hata Harmonize nikimpigia Ananifokea kama Sallam Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa Kama naiona michambo ya madem wa zamani nlio wapitiaga Ooh nayosema yana maana Sababu hakuna anaejua kesho Anaepanga ni Rabana Ila ameificha ni confidential Ukisali omba sanaa Mumeo nisije kuwa kichekesho Maana rafiki wa jana Aaah Ndio adui mkubwa wa kesho La la la la la la Au je utanipenda gaa? Aa La la la la la Au nawe utanimwagaa? Aa La la la la la Ati utanipenda gaa ooh Aa la la la la la Oh Bado naiwaza sana Vile tunzo mashauzi airport Je itapofika tamati Utadiriki hata japo kunipost Pindi show zimekwamaa Na nikipata sijahis ni mikosi Oooh jahazi limezama Mola ninusulu baba Kama namuona mwanangu Roho yangu Tiffa Dangote Anakwenda na mamaangu Kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke Usilie Sandra wangu Mboni yangu Jikaze usichoke Huenda kesho zamu yangu Nitavuma tena mambo yanyooke Ey Na magazeti ya nyumbani Kwa kukuza habari si unajuagaa Utasikia tafalani eti Mondi kwa Zari amemwaga (Oh yeh yeh yeh) Navyo nilivyo mnyonge Tabia ya kuwajibu sinaga Kama naiona michambo ya madem wa zamani Yani He he he La la la la la (eh) (Ola lala la lala) La la la la la (Ooh ola la la la) La la la la la ala Eeeh Ola la la lilaa ooh I say Kama namuona mwanangu Roho yangu Tiffa dangote Ana kwenda na mama angu Kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke Usilie sandra wangu Mboni yangu Jikaze usichoke Huenda kesho zamu yangu Nitavuma tena Mambo yanyooke(he he heee) Nayosema yana maana Sababu hakuna anaejua kesho Anaepanga ni Rabana Ila ameificha ni confidential Ukisali omba sana Mumeo nisije kuwa kichekesho Maana rafiki wa jana Ndio adui mkubwa wa kesho
Writer(s): Diamond Platnumz Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out