album cover
Kabibi
album cover
Kabibi은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 1987년 1월 1일일에 Syllart Records에서 발매되었습니다.Aladji
앨범Aladji
1987년 1월 1일
라벨Syllart Records
BPM130
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

뮤직 비디오

뮤직 비디오

가사

Instrunmental
Mhh
Kabibi wani
A haa
Eh
Kabibi tu
Iye Kabibi, Iye Kabibi
Mtoto wa nyumbani
Iye Kabibi, mh Kabibi
Africa kuna mambo
Iye Kabibi, Iye Kabibi
Mtoto wa nyumbani
Iye Kabibi, mh Kabibi
Africa kuna mambo
Mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia
Aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu
Mwanamke mzuri kama malaika
Anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh
Tafadhali nieleze kwenu wapi ehh
Akasema anatoka Afrika mashariki
Nyumbani kwao "Tanga"
Mmhhm, usiniumize Kabibi
Wewe nakupenda Kabibi
Mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia
Aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu
Mwanamke mzuri kama malaika
Anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh
Tafadhali nieleze kwenu wapi ehh
Akasema anatoka Afrika mashariki
Nyumbani kwao "Zanzibar"
Usiniumize Kabibi
Usiniangushe Kabibi
Anania wangu huko tare
Hii adhabu niliyopata
Kamanga wangu manzese - Ahh Kabibi
Mara ya kwanza tulipoonana alinisalimia
Aliniambia ananitambua kutokana na maisha yangu
Mwanamke mzuri kama malaika
Anapotembea ni kama nguva ndani ya bahari yeh
Tafadhali nieleze kwenu wapi ehh
Akasema anatoka Afrika mashariki
Nyumbani kwao "Mombasa"
Usiniumize Kabibi
Nakupenda Kabibi
Anania wangu huko tare
Hii adhabu niliyopata
Iye Kabibi Iye Kabibi ehh
Mtoto wa nyumbani
Iye Kabibi Wewe Kabibi ehh
Afrika kuna mambo
Usiniangushe Kabibi Ehh
Mtoto wa nyumbani
Nimekuzoea Kabibi
Africa kuna mambo
Iye Kabibi yenuria
Mtoto wa nyumbani
We Kabibi nakupenda
Afrika kuna mambo
Ehh mama
Africa kuna mambo
Mtoto wa nyumbani
Ehh mama
Africa kuna mambo
Iye Kabibi Iye Kabibi
Mtoto wa nyumbani
Wewe Kabibi nakupenda
Africa kuna mambo
Nimeshakuzoea Kabibi
Africa kuna mambo
Usiniangushe Kabibi eh
Africa kuna mambo
Ooh Kabibi
Mtoto wa nyumbani
Mtoto wa Afrika Mashariki eh
Ehh mama Afrika kuna mambo
Kabibi
Wewe Kabibi eh
Nakupenda
Nakupenda Kabibi eh
Kabibi
Mama musa huko kaloleni eh
Tafadhali
Huyu nampenda sana miriamu
Uzuri kama malaika
Nakupenda
Mama Roza kaloleni
Kabibi
Nampenda sana Huyu Mariamu
Tafadhali
Kasuya wangu huko Kenya
Kabibi
Angalia tabu niliyopata kasuya
Nakupenda
Kabibi
Kabibi
Mmhhm Kabibi
Tafadhali
Oh yeah Kabibi
Kabibi
O yee Kabibi
Written by: Sam Mangwana
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...