가사

Mesen selekta Njoo tucheze mwanangu mziki wa singelii Njoo tucheze we mama mziki wa singelii Hilii goma tamu tamu hainaga kumbwela Hilii goma tamu tamu hainaga kumbwela We na meseni halali anapiga singeli We mwamba leo silali Mi naimba singelii Ohh bwana gito halali Anacheza singelii Wanangu wanainama Inuka... Ilala wanainama Inuka Temeke wanainama Inuka ... Kinondoni wanainama Inuka... Twende Wee Kama una gheto mwanangu onesha funguo Wee Kama una gheto We baba onesha funguo Wee Kama una geto mwanamgu onesha funguo Wee Kama una geto we mwamba onesha funguo Weka tena tunamagheto Tunamagheto We mwanangu tunamagheto Tunamagheto We masela tunamagheto Tunamagheto Weka weka gheto langu
Writer(s): Sholo Mwamba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out