뮤직 비디오

Chibonge (feat. Marioo)
{artistName}의 {trackName} 뮤직 비디오 보기

크레딧

실연 아티스트
Abbah
Abbah
실연자
작곡 및 작사
Abbah
Abbah
송라이터

가사

Kama kupenda maradhi, niko hoi taabani Na kama kutangaza nakupenda kosa, nifungwe Kama kupenda upofu, mi sioni na sisikii Ndo maana natangaza nakupenda, moyo wangu usiangamie Sichepuki makona kona, na upona niugue Ukifika mi napona pona Na rangi yako ya black me nakuona white We kifupi nyundo, nakuonaga mnara Anapo ona dawa, mwepesi Mmh aaah japo chii chii, chibonge Aah chi chi chi chibonge Chi chi chibonge Aah chi chi chi chibonge Aah minyama tu, Akipita minyama Anatingisha minyama tu, Vile akipita minyama Aah minyama tu, Akipita minyama Anatingisha minyama tu, Vile akipita minyama, minyama Shepu ya mabonde mabonde, nimeridhia Nitakumiliki usikonde, ata nikifulia Oooh beiby unashoza ng'ombe, Mbuzi wanakimbia Na uwasha mhogo wa jang'ombe leta sufuria Beiby usijipe stress, wewe kibonge mwepesi Waruka mpaka sarakasi, Samba kareti unajua eeh, Hips kiuno shangao za machaini chaini (beiby you like The ...) --nyembamba kiuno chako feni (gyal gyal ---) Mmh aaah japo chii chii, Chibonge Aah chi chi chi chibonge chi Chi chibonge Aah chi chi chi chibonge Aah minyama tu, Akipita minyama Anatingisha minyama tu, Vile akipita minyama(minyama) Mwenzako mi napendaga vibaya, Baya baya Mwenzako mi nina ugonjwa wa Moyo, moyo moyo Mwenzako mi napendaga vibaya Mwenzako na ugonjwa wa moyoo
Writer(s): Marioo Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out