뮤직 비디오

제공

크레딧

실연 아티스트
Sara Nyongole
Sara Nyongole
실연자
작곡 및 작사
Sara Nyongole
Sara Nyongole
송라이터

가사

Nimekuja mbele zako Kusudi nilete sifa zako Vile ulivyo, wan'shangaza Vile utendavyo, najiuliza Je mimi ni nani, utende utendavyo Nimefanya nini, unipe neema bure Je mimi ni nani, utende utendavyo Nimefanya nini, unipe neema bure Yes, Nakupenda Mimi, Bwana nakupenda Vile umetenda Maishani mwangu Sina kama wewe Rafiki waniache Ndungu wanitenge Wewe uko nami Huniachi kama nilivyo Peke yangu Mimi nakupenda Vile umetenda Yes, Nakupenda
Writer(s): Sara Nyongole Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out