가사

Yeah You gotta love it Ayo, what's happening? (Hao) OG (Hao) Masauti Kenyan Boy (Hao) What's good? (Hao) Wanaona mwangaza Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene Lakini tunapambana Ila mziki majanga lazima tu wanene Wanajifanya wanapenda (Hao) Ila wanadidimiza (Hao) Wanajifanya wanapenda (Hao) Ila wanadidimiza (Hao) Kukuwa celebrity Kenya ni kujitolea (Yeah) Ku apologisia watu haujakosea (Preach) Ka we ni msofti utasema wanakuonea (Why?) Ka we ni mjanja utabidi umezoea (No) Watakutusi ndio u-catch na wacheke Wakishakutusi mara that, hao wasepe Udaku inapigwa na kasheshe Ukianguka kwa sakafu unapigangwa mateke Kukuwa celebrity gharama (Gharama) Ju wakishakujua ni lawama (Lawama) Bahati akianza alikuwa mtoto wa mama Sai Twitter mmegeuziwa ye ni mtoto wa Diana Hakuna huruma siri ni kulenga tu (Kulenga tu) 'Cause if it don't kill you then inakujenga tu (Inakujenga tu) Na bado kuna fans wanakupenda tu Azziad usijali, hivo ndo vile kuenda boo Si nyi hu-troll Simple Boy ka kila siku But Kipchoge akivaa the same mnamsifu Inauma kupambana na hizi issues But brathe usijali we zoea hizi vitu Wanaona mwangaza Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene Lakini tunapambana Ila mziki majanga lazima tu wanene Wanajifanya wanapenda (Hao) Ila wanadidimiza (Hao) Wanajifanya wanapenda (Hao) Ila wanadidimiza (Hao) Kukuwa celebrity Kenya ni kujitolea (Why?) Your downfall ndo mbogi huwanga inangojea Leo watakuchocha vile uko juu unapepea But kesho ka shetani watakukemea (Riswa) Remember Esther Arunga na huzzy yake Hellon? It's so sad wamefungwa, ju sai ni ma felon Walitrend tukawacheka when they needed help (Why?) Tukaangalia when they busy destroying themselves Ni poa tuweke imani kwa Yesu Woi Jimmy Gait si ye huona siku mrefu Tumemtroll bila kujiuliza question (Like what?) Like what if that nigga fell in depression? Papa Denis alidedi tukamchangishia Tuka-type rest in peace tukimpandisia Ati tuko sad while tunajua vile alikapitia We tu ni ku-troll ni ka haujui kitu inaeza kufanyikia Mulamwa ameshachoka amedai zii Ju ya matusi toka Twitter mpaka IG Mi ni gangsta mkinitroll haiwasaidii (Kwenda) Buda OG huwa zogo shinda 5G (Staki) Mmefanya mpaka Pozee amewacha injili (Hahaha) Ameacha kuimba mangoma za Holy Spirit Ju mnapenda ongeza chumvi pia na pilipili 10 over 10 hamtaki sai mnatusi Willis As if mmekuwa forced kutazama Nyi ni fans in denial so of-course mnajifanya Kukuwa celebrity kuwa ready for drama Omba God akubless na self-esteem ya pastor Ng'ang'a Na confidence ya Orie Rogo Manduli Na will-power ya John Pombe Magufuli And though wengi watasema ni kiburi But that's the only way utawezana na hawa mabully Wanaona mwangaza Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene Lakini tunapambana Ila mziki majanga lazima tu wanene Wanajifanya wanapenda (Hao) Ila wanadidimiza (Hao) Wanajifanya wanapenda (Hao) Ila wanadidimiza (Hao) Watakushow ati hauwezi fika mbali (Hao) But ni wivu tu jo wamejaa makali (Hao) Comment section wamejaza na upuzi (Hao) Lakini DMs same haters bado groupies (Hao) Ukikafunga hivi waskiangi fiti (Hao) Wanatamani kuishi maisha we unaishi (Hao) So hata waki-hate haina ngori tuko mbele (Hao) Get a life nigga punguza kelele (Hao)
Writer(s): Brian Robert Ouko Omollo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out