뮤직 비디오

Sauti Sol - Rhumba Japani ft Bensoul, Nviiri the Storyteller, Xenia Manasseh, Okello Max & NHP
{artistName}의 {trackName} 뮤직 비디오 보기

크레딧

실연 아티스트
Sauti Sol
Sauti Sol
실연자
Bensoul
Bensoul
보컬
Kaskazini
Kaskazini
보컬
Nviiri The Storyteller
Nviiri The Storyteller
보컬
Okello Max
Okello Max
보컬
nhp
nhp
보컬
Bien-aime Baraza
Bien-aime Baraza
보컬
Willis Chimano
Willis Chimano
보컬
Savara Mudigi
Savara Mudigi
보컬
Polycarp Otieno
Polycarp Otieno
기타
Xenia Manaseh
Xenia Manaseh
보컬
작곡 및 작사
Xenia
Xenia
작곡가
Bien-aime Baraza
Bien-aime Baraza
작곡가
Willis Chimano
Willis Chimano
작곡가
Savara Mudigi
Savara Mudigi
작곡가
Polycarp Otieno
Polycarp Otieno
작곡가
Kagwe Mungai
Kagwe Mungai
작곡가
NVIIRI SANDE
NVIIRI SANDE
작곡가
Julius Okello Mcrymboh
Julius Okello Mcrymboh
작곡가
Benson Mutuya
Benson Mutuya
작곡가
Joe Mutoria
Joe Mutoria
작곡가
Derrick Gaitara
Derrick Gaitara
작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Sauti Sol
Sauti Sol
프로듀서
DTX
DTX
프로듀서
Kagwe Mungai
Kagwe Mungai
프로듀서

가사

Kuna rhumba ya Juja Na ni ya maboy Ukisaka mitumba Enda rhumba ya Toi Kuna rhumba ya Kibich Utajua hujui Kuna rhumba for all you niggas Ila rhumba Japani ndio rhumba Kuna rhumba ya state house Iko chini ya maji Kuna rhumba ya bunge Ya majambazi Ukileta ujinga Utalala ndani Kuna rhumba for all you niggas Lakini rhumba Japani ndio rhumba Hapa ni wapi, tume zungukwa na shisha Na shashamani, mapochopocho na vinywaji Mbali mbali, wengine wanatapika Wakizirai Hapa ni wapi, wanatutwanga mapicha Kipaparazi, Tumezungukwa na warembo Geti kali, tunazitoka na style Za kizamani Kuna rhumba ya Westy Ya mabeshte Ya mashinani Sheki your waiste Rhumba ni nyepesi Isikue kesi Kuna rhumba for all my niggas Ila rhumba Japani ndio rhumba Kuna rhumba Karura Ya kupanda miti Ukiwa Koinange Hakunaga risiti Rhumba Oyole Hio ni ya mangwati All of my hoes and all of my niggas Rhumba Japani ndio rhumba Hapa ni wapi, tumezungukwa na mabouncer Na machali, kuna mapedi mapoko Pia mapinji, na wanaseti Michele Kwenye vinywaji Hapa ni wapi, Kuna visanga vioja Mahakamani, wapenzi wapigana Mate hadharani, wengine wanatekana Nyuma ya taxi Nitie rhumba obunga Mano mar jothurwa To kidwa bilo mbuta Rieri yo manyata Yawuoi orwaka akala To nyiwa ondiso avunja Kuna rhumba for all you niggas Lakini rhumba Japani ndio rhumba Aaaaaaah Sol Generation you know Hii shit imeniweka zone, inatamba Hapa ni wapi, waheshimiwa wako nje Kwa foleni, na raia wako ndani Wajivinjari, wanazitoka na style Ni za kiodi Hapa ni wapi, mawochi wote wameleta Utiaji, wakafungia wakubwa Nje ya party, wakawachia ofisi Wafanyikazi
Writer(s): Kagwe Mungai, Willis Chimano, Polycarp Otieno, Bienaime Baraza, Benson Mutuya, Savara Mudugi, Nviiri Sande, Derrick Gaitara, Xenia Manaseh, Julius Okello Mcrymboh, Joe Mutoria Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out