album cover
Simba
15,156
Music
Simba은(는) 앨범에 수록된 곡으로 2020년 8월 20일일에 WCB WASAFI에서 발매되었습니다.Simba - Single
album cover
발매일2020년 8월 20일
라벨WCB WASAFI
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM176

크레딧

실연 아티스트
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
보컬
작곡 및 작사
Nasibu Abdul Juma Issaack
Nasibu Abdul Juma Issaack
작사가 겸 작곡가
프로덕션 및 엔지니어링
Lizer Classic
Lizer Classic
프로듀서

가사

Oh, waite..., eh
Kumekucha jama
Kishafanya yake munyama
Oh-ooh! Kumekucha jama
Kishafanya ya-
Agaah! Waambie Simba (Simba kiboko yao)
Waambie wekundu wa Msimbazi (Simba kiboko yao)
Oooh! Taifa kubwa (Simba kiboko yao)
Oooh! This is Simba (Simba kiboko yao)
'Bona Manara anacheza?
(Anashangilia ushindi umekuja!)
Mo anarukaruka?
(Anashangilia ushindi umekuja!)
Yule dada anakata?
(Anashangilia ushindi umekuja!)
Agaah! Wahuni wanarukaruka?
(Wanashangilia ushindi umekuja!)
Na tutamfunga yoyote ata'e kaa mbele
Si wanawashwa tutawakuna upele
Chenga na pasi ndo zetu kama mbele
Oh, magoli mashuti kama pele
Wataweza wapi jamaa (wakwende zao!)
Kushindana na munyama? (Wakwende zao!)
Ooh! Wataweza wapi jamaa
Kushindana na Musimbazi?
Agaah! Nasema Simba (Simba kiboko yao)
Waambie wekundu wa Msimbazi (Simba kiboko yao)
Haina mpinzani (Simba kiboko yao)
Ooh! Mabingwa wa nchi (Simba kiboko yao)
Ah, wanachama wanacheza
(Wanashangilia ushindi umekuja!)
Mashabiki wanarukaruka
(Wanashangilia ushindi umekuja!)
Ooh! Nguvu moja
(Anashangilia ushindi umekuja!)
Hadi wale wanarukaruka
(Wanashangilia ushindi umekuja!)
Oyaa mnyama anakula (ahm!)
Mnyama anang'ata (ahm!)
Mnyama anakula (ahm!)
Mnyama anang'ata (ahm!)
Anawatafuna (ahm!)
Anawameza (ahm!)
Anawatafuna (ahm!)
Anawameza (ahm!)
Eeh, kidedea
Eeh, kidedea
Eeh, kidedea
Eeh, kidedea
Naipenda Simba mshabiki wa damu
Naipenda Simba mshabiki wa damu
Mi' mwenzenu mshabiki wa damu
Naipenda Simba mshabiki wa damu
Nani baba wanangu, nani baba? (Simba)
Nani baba wanangu, nani baba? (Simba)
Nani bingwa wa nchi, nani bingwa? (Simba)
Nani bingwa wa nchi, nani bingwa? (Simba)
Kama unaipenda Simba puliza vuvuzela
We' kama unaipenda Simba peperusha bendera
Ah, kama unaipenda Simba puliza vuvuzela basi
Kama unaipenda simba peperusha -
Asa twende, peperusha bendera, wanangu bendera
Niione bendera, nionyeshe bendera
Nyekundu bendera, nyeupe bendera
Ya Simba bendera, umo-umo!
Oh, waite..., eh
Eeh! Waambie hii ndo' timu yenye mashabiki wengi East Africa
Na yenye makombe mengi East Africa and Central
Iliyofanya vizuri zaidi kwenye mashindano makubwa Afrika kuliko club yoyote
Na tutamfunga yoyote
Hah! Watoto wa Msimbazi
Bado sijasikia miluzi, sijasikia milio
Wanangu miluzi (mama), nisikie milio (weka)
Wa kule miluzi (twende baba), wa huku milio (umo-umo)
Nisikie miluzi (wewe), wanangu milio
Eeh, kidedea
Eeh, kidedea
Written by: Nasibu Abdul Juma Issaack
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...