album cover
Mediocre
30,682
Pop
Mediocre은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2020년 9월 24일일에 Kings Music Record Label에서 발매되었습니다.Mediocre - Single
album cover
발매일2020년 9월 24일
라벨Kings Music Record Label
LanguageEnglish
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지
BPM99

크레딧

실연 아티스트
Alikiba
Alikiba
실연자
작곡 및 작사
Ally Salehe Kiba
Ally Salehe Kiba
작사가 겸 작곡가

가사

[Verse 1]
You call me Kibaka
They call me King Kiba
Baba Keyaan, toto la mama Kiba
Njaa mi nashiba, unaishi kwa kuniiga
And I'm alright
[Verse 2]
Ushamba mwiko kwa mtoto wa Kariakoo
Si chezi na dada zangu, nacheza na dada ako
Mixer mkong'oto, we unauza siso
Mi ndio bishooo
[Verse 3]
Iga na ku-stop uone
Hujui muziki hata tone
Mi nafanya wimbo, we unafanya skendo
Uonekanee
[Chorus]
Marekani nishatimba, Ulaya yote nishatamba
Tena unatukana, unakuja unajigamba
Unajiona mjanja unatamba sana
Mediocre aah, yeaah
[Refrain]
Mediocre, speed ya mediocre, ooh
Mediocre yeeh
Medio medio, mediocre yeeh
Medio ooh, mediocre ooh
Mediocre yeeh
[Bridge]
Yeaah yeeeiyee
[Verse 4]
Pruu mpaka chini pigo
Unataka U-King wa mafundo
Mimi ndio baba kingdom, kingdom
Yeaah
[Verse 5]
Tena mnaji-show, huyu commando
Stage mafundo, wachafu wa roho
Waongeza zero, kwashungu no
Kwashungu no
[Bridge]
No, no
Yeah
My people, no no
Como stas yeah
[Bridge]
Yeaah, yeaah
Onanana
Onaa yeeh
Yeaap
[Chorus]
Marekani nishatimba, Ulaya yote nishatamba
Tena unatukana, unakuja unajigamba
Unajiona mjanja unatamba sana
Mediocre aah, yeaah
[Refrain]
Mediocre, speed ya mediocre, ooh
Mediocre yeeh
Medio medio, mediocre yeeh
Medio ooh, mediocre ooh
Mediocre yeeh
Written by: Ally Salehe Kiba
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...