Martha Mwaipaja의 상위 곡
유사한 곡
크레딧
실연 아티스트
Martha Mwaipaja
실연자
작곡 및 작사
Martha Mwaipaja
송라이터
가사
Hallelujah, haa
Yeye ni Mungu akisema amesema
Yeye ni Mungu
Yeye ni Baba akipanga amepanga
Yeye ni baba
Yeye ni vyote akisema amesema
Yeye ni Mungu
Yeye ni Mungu amepanga amepanga
Maana ye Mungu
Amesema hatutakuwa chini
Ameshasema maana ni Mungu
Amesema kesho yetu ni kubwa
Kasema maana ye ni Mungu
Usiliee, hee
Amesema yeye ni Mungu
Usichoke kasema yeye ni Mungu
Hawajajua amepanga mazuri Mungu
Wangejua kesho yako ni ipi
Wangejua wasingekukimbia
Kwa sababu unalia wamekuchoka
Wangejua wangevumilia na wewe
Wangejua leo yangu ni hii
Jana yangu wasingenitesa
Yeye ni Mungu akisema amesema
Yeye ni Mungu
Yeye ni Baba akipanga amepanga
Yeye ni Baba
Yeye ni Mungu akisema amesema
Yeye ni Mungu
Yeye ni Baba akipanga amepanga
Yeye ni Baba
Kwasababu tuko na Mungu
Ndugu zangu vita tutaishinda
Yeye ni Mungu akijibu ameshajibu
Mungu yetu yuko mbinguni
Anatazama atende kwa haki
Amewacha wote wakimbie
Akitenda anatenda kwa haki
Wangejua wewe ni nani
Wote wasingekukimbia
Wangejua wewe ni nani
Wote wasingekuacha
Wamekusukuma uende mbali
Usijali Mungu anatenda kwa haki
Wamekushtaki ili uhukumiwe
Usihofu Baba anajibu kwa haki
Wangejua kesho yako hautalia
Wangejua wangevumilia na wewe
Kawaida ya watu wanachoka
Wangejua wasingekuchoka
Yeye ni Mungu akisema amesema
Yeye ni Mungu
Yeye ni Baba akipanga amepanga
Yeye ni Baba
Yeye ni Mungu akisema amesema
Yeye ni Mungu
Yeye ni Baba akipanga amepanga
Yeye ni Baba
Writer(s): Martha Mwaipaja
Lyrics powered by www.musixmatch.com