뮤직 비디오

뮤직 비디오

크레딧

실연 아티스트
Nandy
Nandy
실연자
작곡 및 작사
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Faustina Nandera Charles Mfinanga
작사가 겸 작곡가

가사

Shii! Akichekecha nacheketua naye
Bandua bwesa ninakesha naye
Bingwa wa mitindo sio foreigner
Dereva sio learner, inashika antenna oyee
Ashanasa ulimbo, ulimbo, sibanduki ng'o
Mi naye ngoma draw oyee
Nakesha lindo, lindo, macho kwenye show
Kuchakachua no, oyee
Kaninogea (Ooh inama, inama)
Koleza na kuni moto chochea (Ooh inama, inama)
Akipiga kick inatembea (Ooh inama, inama)
Za ki China, China za ki Korea (Ooh inama, inama)
Akipiga kick! Napunga kipupwe Copa Cabana
Nauminilevya kama banana, nikiguza kitufe mambo mwanana
Ulipopita we mbali we umeshona
Mtoto baiko baikoko
Kibao kata kanga moko
Chikigiriki kimoko, nachora eeh
Nimeshanasa ulimbo, ulimbo, sibanduki ng'o
Mi naye ngoma draw oyee
Nakesha lindo, lindo
Macho kwenye show
Kuchakachua no, oyee
Kaninogea (Ooh inama, inama)
Koleza na kuni moto chochea (Ooh inama, inama)
Akipiga kick inatembea (Ooh inama, inama)
Za ki China, China za ki Korea (Ooh inama, inama)
Akipiga kick (Na nusu)
Na nusu
Na nusu
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...