album cover
Baadaye
album cover
Baadaye은(는) {albumName} 앨범에 수록된 곡으로 2021년 8월 15일일에 Ziiki Media에서 발매되었습니다.#ReimagineAJ - EP
2021년 8월 15일
라벨Ziiki Media
BPM83
멜로디에 강한 음악
어쿠스틱 악기 중심
발랑스
춤추기 좋은 음악
에너지

가사

Ni how, uliniwacha mi bila faham, kuwa ni yako zamu
Angalau, ungeniambia eti unakam nitulize hamu
Wangu wa dhati, hey, tamaa zangu zimenikwamia, mikononi, labda huu ni mwisho wa dunia
Safiri salama, msalimu Maulana, tutaonana baadaye
Safiri salama, msalimu Maulana, tutaonana baadaye
Ndiyoo, tutaonana baadaye, ndiyoo, tutaonana baadaye
Nakam-nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye
Nakam-nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye
Natamani kujua what your plot is, hata landlord hupeana notice
Aki Maulana ingilia kati, please ni expensive but worth it
Kwa nini uliamua kutangulia, diet yangu imechange, tabia ya kulia
Usingizi nakutamani, kushoto kulia, unakuja lini, nitabasamu tena
Unanitenda, aliyekuchukua sijui nani alimtuma, maombi ni ati wakati rudi nyuma
Jioni nikirudi, nikupate kwa nyumba, vijiti zimeshikana ni ngumu kuvunja
But, ka una haraka nenda kwanza, niko na I-Bag sijalala, na usalimie Maulanaa
Safiri salama, msalimu Maulana, tutaonana baadaye
Safiri salama, msalimu Maulana, tutaonana baadaye
Ndiyoo, ndiyoo, tutaonana baadaye
Ooh nakam-nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye
Nakam-nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...