Rayvanny의 상위 곡
유사한 곡
크레딧
실연 아티스트
Rayvanny
보컬
작곡 및 작사
Rayvanny
송라이터
프로덕션 및 엔지니어링
Zesty
프로듀서
가사
Nahisi ninabahati mbaya
Kipi nilichokosea
Nikijaribu kutafuta shida ndo zinakolea
Mfukoni hali mbaya sio kama najitetea
Ile pesa yakusuka mbona nilikuletea
Mawazo yani yanani kolea
Nikupe nini usijepotea
Ndungura yani inanyong'onyea
Lilinde penzi lisijeteketea
Vitunguu
Mboga za majani laki tano
Kwenye genge
Nyama tuu
Nikupe milioni kwani unapika kenge
Si Jana tuu
Nimelipa pochi na doti za vitenge
Viatu juu ulivyojumua kama unaduka mwenge
Chuma ulete chuma ulete
Usiwe chuma ulete
Nsije kubadili jina nikakuita chumaulete
Chuma ulete mama chuma ulete
Usiwe chuma ulete
Nsije kubadili jina nikakuita
Chuma ulete
Pesa sio nguvu za milundi
Kunyanyua jiwe juu chini
Tukitoka unakuja nakundi
Gharama zote juu yangu Mimi
Unanasa pesa kama gundi
Sasa mimi nitumie nini
Kila siku kushona kwa Fundi kama mpambaji wa shughulini
Eti nguva inaita
Mara mapande sita
Mshazari umeshika
Hakuna fasheni inakupita
Juzi ulikunja ngita
Wataka mchele tani sita
Mama mbona unatisha
Kwani unafuturisha
Mawazo yani yanani kolea
Nikupe nini usije potea
Ndungura yani inanyongo'nyea
Lilinde penzi lisije teketea
Vitunguu
Mboga za majani laki tano kwenye genge
Nyama tuu
Nikupe milioni kwani unapika kenge
Si Jana tuu
Nimelipa pochi nadoti za vitenge
Viatu juu
Ulivyojumua kama unaduka mwenge
Chuma ulete chuma ulete
Usiwe chuma ulete
Nsije kubadili jina nikakuita
Chuma ulete
Mama chuma ulete
Usiwe chuma ulete
Nsije kubadili jina nikakuita
Chuma ulete
Writer(s): Rayvanny
Lyrics powered by www.musixmatch.com