Western Jazz Band의 상위 곡
크레딧
실연 아티스트
Western Jazz Band
리드 보컬
작곡 및 작사
Western Jazz Band
송라이터
가사
Mapenzi yetu yamekuwa ni hasara Rosa
Mganga aliyekupa dawa ni adui yangu mama
Penzi ulilotaka si penzi mwenzangu eeh
Dawa aliyokupa ni sumu mwenzangu eeh
Hivyo ndivyo ulivyotaka toa roho yangu
Nini ulichokosa kutaka kuniua Rosa?
Nilikuwa ninakupa mshahara wangu wote
Hio haikutosha mpaka wanitesa Rosa
Eeh Rosa, Eeh Rosa, Eeh Rosa, Eeh Rosa Mama
(Acha ubaya Rosa).
Mapenzi yetu yamekuwa ni hasara Rosa
Mganga aliyekupa dawa ni adui yangu mama
Penzi ulilotaka si penzi mwenzangu eeh
Dawa aliyokupa ni sumu mwenzangu eeh
Hivyo ndivyo ulivyotaka toa roho yangu
Nini ulichokosa kutaka kuniua Rosa?
Nilikuwa ninakupa mshahara wangu wote
Hio haikutosha mpaka wanitesa Rosa
Eeh Rosa, Eeh Rosa, Eeh Rosa, Eeh Rosa Mama (he he he)
(Ndio ndio ndio ndio...)
(Rosa acha kuniua mama
Watu wanataka kusikia saboso ya mwaka 73
Kweli kweli kweli Rosa mbaya
Wacha uchawi)
(Rosaaa)
(He he eheee Rosa Maamaa)
Mapenzi yetu yamekuwa ni hasara Rosa
Mganga aliyekupa dawa ni adui yangu mama
Penzi ulilotaka si penzi mwenzangu eeh
Dawa aliyokupa ni sumu mwenzangu eeh
Hivyo ndivyo ulivyotaka toa roho yangu
Nini ulichokosa kutaka kuniua Rosa?
Nilikuwa ninakupa mshahara wangu wote
Hio haikutosha mpaka wanitesa Rosa
Eeh Rosa, Eeh Rosa, Eeh Rosa, Eeh Rosa Mama
Writer(s): Hicham Khatir
Lyrics powered by www.musixmatch.com